22/05/2026
DAN WEMA. hii naomba ifikie apostle Dan wema popote alipo alinipromise kurudi sai Sasa naweza endeleza kazi akuje aniamshie venye tu aliniahidi tafadhi naomba mnisaidie imfikie...pili nashukuru Kwa msahada ambao alitoa kwangu maana k**a si yeye sai bado ningekua Na hizo Chuma mguuni..DAN WEMA.