02/09/2023
Nimepokea kwa masikitiko makubwa Taarifa ya kifo Haitham Kim , mwanamuziki wa Bongo Flava. Poleni wazazi, walezi, wanamuziki wa BongoFlava, ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na kipenzi chetu,Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina