ZanVision

ZanVision photographer and videograher from zanvision

https://youtu.be/-pAyXQ5nY4A
26/06/2025

https://youtu.be/-pAyXQ5nY4A

Rais wa Zanzibar na mkakati mpya juu ya matumizi ya ardhi Visiwani Zanzibar. K**a bado hujasubscribe chanal yetu fanya hivyo sasa ili uwe wa kwan...

https://youtu.be/nPpARRwAlpA
25/06/2025

https://youtu.be/nPpARRwAlpA

Serikali ya SMT na SMZ yawarudisha raia wake walokwama nchini Israel kutokana na vita vinavyoendelea Israel, wananchi hao walikwenda kwa ajili ya...

https://youtu.be/M0d_k2evERo
20/06/2025

https://youtu.be/M0d_k2evERo

Rais Mwinyi awakabidhi magari na mapikipiki ya kisasa Kamisheni ya Utalii ili kukijenga kikosi cha Polisi Utalii Zanzibar. K**a bado hujasubscrib...

https://youtu.be/vP_dfud7Q2A
16/10/2024

https://youtu.be/vP_dfud7Q2A

Tukio lililomkosha Rais Mwinyi, Zanzibar kuanza kupokea wageni baada ya M***i Menk kutamka maneno juu ya Zanzibar na kuitanabahisha dunia juu ya ...

https://youtu.be/aLWSm504JOw
10/10/2024

https://youtu.be/aLWSm504JOw

Waziri Mudrik amesema alitoa ahadi kwa vijana wa makachu foro kushiriki kupiga makachu na vijano, angalia alivyojiachia utadhani yupo kwenye mash...

https://youtu.be/gn2IQT9PqOI
08/10/2024

https://youtu.be/gn2IQT9PqOI

ZRA Kaimu Kamishna Mkuu wa ZRA Said Ali anasema kimsingi kuna mambo ya kuzingatia katika ulipaji kodo na kurudisha Ritani za mapato, anafafanua h...

https://youtu.be/CWV2g6y7upo
15/09/2024

https://youtu.be/CWV2g6y7upo

Tatizo la CustomerCare bado imekua tatizo licha ya Viongozi na wadau mbalimbali kukemea changamoto ya utowaji huduma kwenye baadhi ya Taasisi ime...

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=815621667238549&id=100063721700102&mibextid=Nif5oz
07/11/2023

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=815621667238549&id=100063721700102&mibextid=Nif5oz

|| SERIKALI INAPANGA KUKOPA TSH. TRILIONI 8.69 KWA AJILI YA BAJETI YA MWAKA 2024/25
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mwongozo wa maandalizi ya Mpango wa Bajeti ya mwaka 2024/25 na kueleza kuwa Serikali itakopa kiasi cha Tsh. Trilioni 8.69 ambapo Tsh. Trilioni 6.14 zitakuwa ni Mikopo ya Ndani na Tsh. Trilioni 2.55 kutoka Nje

Ikumbukwe, kwa mujibu wa taarifa ya Tathmini ya Uchumi kutoka Benki ya Kuu ya Tanzania, hadi kufikia Mwishoni mwa Agosti 2023, Deni la Taifa lilikuwa Tsh. Trilioni 101.5. Kati yake Tsh. Trilioni 71.59 ni Deni la Nje na Tsh. Trilioni 29.91 ni Deni la Ndani

Mdau, una maoni gani kuhusu mwenendo wa Deni la Taifa na hali ya ukopaji


https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=809131014554281&id=100063721700102&mibextid=Nif5oz
28/10/2023

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=809131014554281&id=100063721700102&mibextid=Nif5oz

||UTAFITI MPYA WA MOYO
Utafiti mpya wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) uliochapishwa Oktoba 17, 2023 katika Jarida la Kisayansi la Kimataifa la Sage, umeonesha Wagonjwa wa Moyo waliowekewa Betri ya Moyo (Pacemaker) wamepata hatari ya kukumbwa na changamoto ya Akili

Utafiti huo ulihusisha Wagonjwa 6 waliofanyiwa vipimo vya mtambo mkubwa uitwao Cath Lab

Mkuu wa Idara ya Utafiti wa JKCI, Dkt. Pedro Pallangyo, amesema “Waliofanyiwa utafiti wote walipata changamoto ya AfyaYaAkili, mfano mwingine ni hivi karibuni mgonjwa aliyewekewa Betri ya Moyo alijirusha kutoka ghorofani na kufariki.”


https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=807860901347959&id=100063721700102&mibextid=Nif5oz
26/10/2023

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=807860901347959&id=100063721700102&mibextid=Nif5oz

|| IDARA IMEDHAMIRIA KUBORESHA MAMBO YA KALE ZNZ
Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale imesaini hati ya Mashirikiano na Wizara Maliasili na Utalii kupitia Taasisi ya Makumbusho ya Taifa Tanzania kwa lengo la kuzidi kuimarisha mashirkiano ambayo yatakua na muongozo maalum utakaowezesha kukuza Utalii na Mambo ya kale nchini.

Akizungumza mara baada ya Utiaji saini, Mkurugenzi wa Makumbusho ya Taifa Tanzania Dkt. Noel Lwoga ameeleza mkataba huu utahusiana zaidi katika eneo la Makumbusho na mambo ya kale hasa katika shughuli za Uhifadhi, Utoaji wa elimu juu ya mambo ya kale Uandaaji wa matamasha na tafiti mbali mbali ndani ya nchi yetu hasa katika mambo yanayoingiliana baina ya Zanzibar na Tanzania.

Dkt. Noel amefafanua kuwa kupitia mkataba huo wa mashirikiano taasisi zote zitaweka nguvu ya pamoja kwa kuandaa Sera na Kanuni, (taratibu) za kulinda na kuhifadhi Mambo ya kale ili Umiliki na Uhalali unaohusisha masuala Tanzania ya urithi ubaki kua ni wa nchi ya

Nae Mkurugenzi wa Makumbusho na Mambo ya Kale Nd. Maryam Mansab amefafanua kuwa kupitia mashirikiano hayo yatapanua wigo kwa wataalamu wa pande zote mbili katika Mambo ya Kale ili kubadilishana uwezo na taaluma na hatiame kufikia lengo la namna gani Tanzania inaweza kuhifadhi na kutunza Urithi huu kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo.

Hati ya Mashirkiano imesainiwa na kushuhudiwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Dkt. Amina Ameir Issa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.


Address

Zanzibar

Telephone

+255652632019

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZanVision posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share