30/04/2026
TIMU yetu ya Mpira wa Mikono (Handball) ya KMKM jana tarehe 29/4/2026 imefanikiwa kutwaa Ubingwa Mungano wa Handball baada ya ushindi wa magoli 48-26 dhidi ya JKU, mchezo uliochezwa uwanja cha Nyuki Migombani Mjini Zanzibar.
Kmkm SC AzamSports International Handball Federation