Shot

Shot Hello, everyone welcome to Shot page here we are dealing with Wedding, Event's, Documentary, sendOff

13/03/2026

Vijana tuendele Kuwajibika kumsaidia Mhe Rais Dkt Kazi na Utu Tunasongambele 🇹🇿
Uzalendo ni Utu
🙏 full interview Ipo YouTube

13/03/2026

Michael msechu Ninani...? Ipo YouTube full story really life


13/03/2026

HODI PEMBA MAMA KAJA ❤️

13/03/2026

📍ARUSHA,TANZANIA

Katibu Mkuu Habari,Sanaa,Michezo na Utamaduni, akiwa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa AFCON Arusha,amesema ujenzi wa Uwanja huo Jijini Arusha umefikia asilimia 75 ya utekelezaji wake, huku kazi mbalimbali za miundombinu zikiendelea kukamilishwa kwa kasi ili kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa wakati.

Pamoja na Kumpongeza Mhe Rais Dkt Kwa Kazi nzuri na njema katika kuendelea kuboresha Viwanja vya Michezo na kukuza Sekta ya Michezo nchini Tanzania 🇹🇿

Aidha,kwa mujibu wa taarifa za maendeleo ya mradi huo, uwanja huo unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Julai mwaka huu, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuboresha miundombinu ya michezo na kuiwezesha Tanzania kuwa tayari kwa mashindano makubwa ya kimataifa ya mpira wa miguu.

Kukamilika kwa uwanja huo kunatarajiwa kuimarisha sekta ya michezo pamoja na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika jiji la Arusha na maeneo jirani. ⚽



✍️

12/03/2026
11/03/2026

TANGA YA SAMIA TABASAMU LA UTU KUSIKILIZA KERO NA KUZITATUA BILA MALIPO WANASHERIA WAPO KAZINI

Jopo la Mawakili wa Serikali kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Taasisi zingine za Serikali, wameweka kambi katika viwanja vya Tangamano kuanzia tarehe 9 Machi, 2026 hadi tarehe 15 Machi, 2026.

Lengo ni kuweza kuwafikia wananchi na kutatua kero na changamoto mbali mbali zinazowakabili ya kisheria.

Huduma hii ya Kliniki ya Kisheria itasaidia kuondoa changamoto mbali mbali katika jamii nakusaidia wananchi kupata haki zao.

Hongera sanaa Mhe Rais Dkt
Kazi na Utu Tunasongambele 🇹🇿
Mkuu Wa Mkoa Wa Tanga .burian
Kaziindelee



10/03/2026

WANASHERIA WA SERIKALI WAPO TANGA KUSIKILIZA KERO NA KUZITATU NA KUTOA ELUMU YA KISHERIA
WOTE MNAKARIBISHWA VIWANJA VYA TANGAMANO


✍️


10/03/2026

WOTE MNAKARIBISHWA VIWANJA VYA TANGAMANO KATIKA KLINIKI YA SHERIA BILA MALIPO WANASHERIA WA SERIKALI WAPO KAZINI HAPA TANGA

SERIKALI AWAMU YA SITA IPO KAZINI HUYU NDIO MHE RAIS DKT TABASAMU MPAKA NYUMBANI

MKUU WA MKOA WA TANGA .burian ANAWAKALIBISHA WOTEEEE..

✍️



09/03/2026

Uzalendo Ni Utu 🇹🇿
Kazi na Utu Tunasongambele
Naipenda nchi yangu ❤️🇹🇿
Balozi Wa Mazingira Tanzania
✍️

Mhe Mkuu Wa Mkoa Wa Tanga .burian Ubarikiwe sanaa Kwa pongezi Kazi Kubwa sisi vijana kuendelea Kuunga mkono juhudi za serikali yetu na kutoa Ushirikiano mkubwa Kwa Taifa Letu katika kutoa Elimu na Majukumu ya serikali Yetu na kuendelea kumunga mkono Mhe Rais Dkt Mama Wa TAIFA 🇹🇿






09/03/2026

TANZANIA YA SAMIA 🇹🇿❤️
kheri ya siku njema Kwa Wanawake Wote Duniani pamoja na Mhe Rais Dkt yupo pamoja na kina mama Kazi na Utu Tunasongambele 🇹🇿


✍️

08/03/2026

UZALENDO NI KUTUNZA MAZINGIRA SHIRIKI KUPANDA MITI 🌳 MAADHIMISHO YA WANAWAKE DUNIANI MKOA WA TANGA

Address

Tanga
211XX

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shot posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category