JOSE PHOTO Studio

JOSE PHOTO Studio KARIBU UPATE HUDUMA YA PICHA KWA AJILI YA HARUSI, MAHAFALI, KIPAIMARA, KITCHEN PARTY N.K. NDANI NA NJE YA TANGA.

Pale tunapowafundisha wateja wetu mapozi ya kupigia picha kwa vitendo ... nilikuwa nawafundisha kununa ila inaonekana ha...
18/05/2018

Pale tunapowafundisha wateja wetu mapozi ya kupigia picha kwa vitendo ... nilikuwa nawafundisha kununa ila inaonekana hawajaelewa somo.

Karibu tukuhudumie, tuna wapiga picha wazuri walio tayari muda wote kwa mahitaji yako ya picha za mnato (still pictures)...
01/11/2017

Karibu tukuhudumie, tuna wapiga picha wazuri walio tayari muda wote kwa mahitaji yako ya picha za mnato (still pictures) na picha mjongeo (video/movies) kwa matukio ya HARUSI, KITCHEN PARTY, KIPAIMARA, MAHAFALI, BIRTHDAY PARTY n.k.

Ili kuzingatia maadili tuna mpigapicha wa k**e maalum kwa shughuli ambazo wanaume hawaruhusiwi kuhudhuria ( k.v. KITCHEN PARTY)

Tupo Barabara ya 17/Barabara ya Taifa (Street No 17/Taifa Road). Pia waweza kutupigia kwa namba 0654 614040, kututembelea kwenye facebook - [email protected]

Jose Photo Studio, forever for you!!!

26/08/2016

Ndugu wateja wetu wapendwa tunapenda kuwatangazia kuwa pamoja na huduma nyingine tunazo fremu za picha (photo frames) za size tofauti ofisini kwetu. Tunapatikana Barabara ya 17 karibu sana na Taifa Road. karibuni sana.

Habari? Katika msimu huu wa sikukuu za Eid tunapenda kuwakaribisha wapendwa wote waliopo jijini Tanga kuweka kumbukumbu ...
06/07/2016

Habari? Katika msimu huu wa sikukuu za Eid tunapenda kuwakaribisha wapendwa wote waliopo jijini Tanga kuweka kumbukumbu na ndugu, jamaa na marafiki kwa kupiga picha katika studio yetu. Tunapatikana Br 17/Maua na pia kwa namba zetu 0654614040. Muda wa jioni tutakuwa maeneo ya Forodhani kuanzia saa 11 na baadaye maeneo ya Fetefete Ansaar ( Mtaa wa Eckenforde) kuanzia saa 1 usiku. KUMBUKA: Huduma zetu ni express, utapata picha zako muda huo huo.

Tunayo pia huduma ya picha katika mandhari tofauti tofauti za kuvutia tofauti na eneo ulilopigia picha. Karibuni sana!

Address

NGAMIANI KUSINI
Tanga
BARABARAYA17/TAIFA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JOSE PHOTO Studio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share