Ruthanet Computer&phone clinic

Ruthanet Computer&phone clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ruthanet Computer&phone clinic, Photography Videography, Tanga.

27/06/2025

Karibu sana Ruthanet Computer and Phone Clinic! Tunatoa huduma bora za kiteknolojia kwa bei nafuu na uaminifu wa hali ya juu!

📱💻 Tunatengeneza simu na kompyuta aina zote – software na hardware, haraka na kwa ufanisi.

📍 Tunafunga GPS kwenye vyombo vya moto – magari, pikipiki, bajaji – ili uweze kufuatilia kwa urahisi kupitia simu yako!

📹 Na pia, tunafunga kamera za CCTV – analog na digital – kwa ajili ya usalama wa nyumbani, ofisini au biashara yako!

📞 Tupigie sasa kwa namba: 0683 437 735 📍Huduma bora, haraka na ya kitaalamu – Ruthanet Computer and Phone Clinic!

🛠️ Karibu sana!

Usalama wa mtandaoni ni muhimu sana katika karne hii kwa sababu ya mabadiliko makubwa ya kidigitali na kuongezeka kwa ma...
07/03/2024

Usalama wa mtandaoni ni muhimu sana katika karne hii kwa sababu ya mabadiliko makubwa ya kidigitali na kuongezeka kwa matumizi ya teknolojia.Napata meseji nyingi inbox za utapeli hivyo Akaunti nying za zipo hacking hivyo kuweni makini na matapeli!! hizi ni baadhi ya meseji wanazo anza nazo!!🤣🤣🤣🤣😂😂🙉🙉🙉🙉

It’s my special day! Happy Birthday to me, the one who never gives up and always strives for greatness. Here’s to anothe...
01/01/2024

It’s my special day!
Happy Birthday to me, the one who never gives up and always strives for greatness. Here’s to another year of success, blessings and determination.

Birthday party Loading,
31/12/2023

Birthday party Loading,

Ruthanet inakuletea Laptop 💻 nzuri za kisasa,kwa Bei Nafuu,njoo tukuhudumie 🙏🏿🙏🏿💻
09/03/2023

Ruthanet inakuletea Laptop 💻 nzuri za kisasa,kwa Bei Nafuu,njoo tukuhudumie 🙏🏿🙏🏿💻

We are open!!
16/02/2023

We are open!!

JE SIMU YAKO IMEHARIBIKA KIOO?Yawezekana simu yako imeharibika kioo na usijue wapi ni sehemu sahihi utapata kioo origina...
30/01/2023

JE SIMU YAKO IMEHARIBIKA KIOO?
Yawezekana simu yako imeharibika kioo na usijue wapi ni sehemu sahihi utapata kioo original kwaajili ya simu yako.
Kwa kutambua hilo nasi computer&phone clinic tumekuletea vioo vya aina mbalimbali k**a vile.
☑️Samsung.
☑️Iphone.
☑️Nokia.
☑️Infinix.
☑️Tecno.
☑️Google pixel
☑️ Mi
☑️Huawei
☑️Sony.
Usisite kututafuta uwapo na changamoto yoyote kwenye simu na computer ,
Tupo hapa Handeni karibu na Jully Assenga Hardware
Piga/sms/whatsapp
0719853535
0683437735.
KARIBUNI SANA.
.

Address

Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ruthanet Computer&phone clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ruthanet Computer&phone clinic:

Share