26/04/2020
**Kwa wale wanaopenda kupiga picha nadhifu kwenye vazi la stara kipindi ichi cha mwezi mtukufu wa ramadhani tunawakaribisha sana, bei nafuu picha yenye kiwango kilichozingatiwa karibuni sana tukupe kile unachokipenda wakati huu wa mwezi mtukufu wa ramadhan🙏 asalaam aleykum😊 📸