Hizzoweyz

Hizzoweyz Photo/video Grapher/Graphics
Social Networks
0653430269 📞 Lawrence Mwalongo

KWA MAHITAJI YA PHOTOSHOOT/VIDEO SHOOT KALIBU HD STUDIOS  TUKUHUDUMIE GARAMA ZETU NI NAFUUTUNAPATIKANA NJOMBE MJINI NAZA...
15/07/2026

KWA MAHITAJI YA PHOTOSHOOT/VIDEO SHOOT KALIBU HD STUDIOS TUKUHUDUMIE
GARAMA ZETU NI NAFUU

TUNAPATIKANA NJOMBE MJINI NAZARETH,BALABALA YA SONGEA KALIBIA NA UPLANDSFM RADIO
0653430269
#2026

Je! Wajua Umuhimu wa picha ya Ukutani katika Nyumba ama Ofisi yako👇PICHA YA UKUTANI ni pambo la kipekee lenye uwezo Mkub...
18/06/2026

Je! Wajua Umuhimu wa picha ya Ukutani katika Nyumba ama Ofisi yako👇

PICHA YA UKUTANI ni pambo la kipekee lenye uwezo Mkubwa wa kubadilisha kabisa Hisia, Muonekano, na Hadhi ya Nyumba ama Ofisi yako.Huwa hazikai k**a pambo tu la Nyumba yako bali mchango Mkubwa katika kukamilisha Muonekano wa ndani kwako

UMUHIMU
1)inazuia Kuta zilionekana tupu na zenye upweke na inampa mgeni Mahali pa kuanza kutazama (focus point) endapo utaiweka upande wa kochi kubwa au wakitanda

2)K**a chumba chako kinachanganyiko wa rangi, Yani Makochi rangi yake, Mapazia rangi ingine, zulia picha hutumika kiunganishi ukitumia picha yenye mchanganyiko wa rangi zinazofanana na vitu vyako

3)Picha zenye ujumbe wa nasaa wa hamasa zinaonyesha ladha Yako, Haiba Yako, Vitu unavyovipenda, inafanya Nyumba isionekane k**a Showroom ya duka, bali Mahali penye uhai na joto la kifamilia

4) Kubadilisha Hali ya hisia na Utulivu,
picha tunazoitazama Kila siku zinaathari kubwa kisaikologia, picha zenye mandhari ya asili( K**a msitu,bahari au Maua) zinajulikana k**a uleta utulivu wa AKILI na kupunguza msongo wa Mawazo baada ya kazi ngumu

5) Hufanya chumba kionekane katika Hali ya ukubwa na Nafasi. picha za ukutani zile zenye muonekano wa Mbali(k**a barabara, Milima, mistàri ya mbele) zinauwezo wà kudàñganya macho na kufanya chumba kidogo kionekane kikubwa

KALIBU UJIPATIE PICHA MBAO KWA BEI NAFUU
0653430269

KALIBU UJIPATIE PICHA MBAO NZURI, IMARA NA ZA KISASAZA MAJUMBANI,MAOFISINI ,MAHOTELINI NA SEHEMU MBALIMBALITUNAPATIKANA ...
13/06/2026

KALIBU UJIPATIE PICHA MBAO NZURI, IMARA NA ZA KISASA
ZA MAJUMBANI,MAOFISINI ,MAHOTELINI NA SEHEMU MBALIMBALI
TUNAPATIKANA NJOMBE MJINI , NAZARETH,,BALABALA YA SONGEA KALBIA NA UPLANDS FM RADIO

Size A4,A3,A2
0653430269

KWA HUDUMA BORA YA PICHA ZA KUCHORA KWA GARAMA NAFUU KALIBU TUKUHUDUMIE 0653430269TUNAPATIKANA NAZARETH,BALABALA KUU YA ...
05/06/2026

KWA HUDUMA BORA YA PICHA ZA KUCHORA KWA GARAMA NAFUU
KALIBU TUKUHUDUMIE
0653430269

TUNAPATIKANA NAZARETH,BALABALA KUU YA SONGEA

Address

Njombe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hizzoweyz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hizzoweyz:

Shortcuts

Share

Category