Vanny_Tom

Vanny_Tom Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Vanny_Tom, Camera/Photo, Mwanza.

IKIWA LEO NASHEREKEA MIAKA 30 YA KUZALIWA KWANGU,NAKUSOGEZEA MAMBO 30 AMBAYO NIMEJIFUNZA NA KUYA AMINI MPAKA LEO HII:
16/08/2024

IKIWA LEO NASHEREKEA MIAKA 30 YA KUZALIWA KWANGU,NAKUSOGEZEA MAMBO 30 AMBAYO NIMEJIFUNZA NA KUYA AMINI MPAKA LEO HII:

Mungu wetu ni wa taratibu na kila neno alilo lisema kwetu ni ahadi si binadamu kwamba itafika hatua atabadilika hapana t...
02/06/2024

Mungu wetu ni wa taratibu na kila neno alilo lisema kwetu ni ahadi si binadamu kwamba itafika hatua atabadilika hapana tunachotakiwa ni kumkumbusha tu.

Wote ambao tunawaona k**a mifano kwenye Biblia takatifu k**a mafanikio yao yametokana na Kuomba nawe ukiomba utafanikiwa,k**a ni kwa Sadaka nawe ukitoa utafanikiwa n.k

Si rahisi kupata baraka,heri na miaka mingi duniani ikiwa hauwaheshimu baba na mama hiyo ni Amri ya kwanza kabisa kutoka kwa Mungu.

Inawezekana tunaangaika kuombewa,kuwekewa mikono,kuzunguka kwa waganga kumbe tatizo tunakosa zile baraka tu za baba na Mama.

(Rejea Waefeso 6:2-3)

Uzuri wa sura,umbo si vigezo pekee vya kujihakikishia kudumu katika mahusiano ya aina yoyote pengine hata kazi n.kTabia ...
02/06/2024

Uzuri wa sura,umbo si vigezo pekee vya kujihakikishia kudumu katika mahusiano ya aina yoyote pengine hata kazi n.k

Tabia ina mchango mkubwa sana katika kujipatia baraka.

Tupo wengi ambao leo hii tumejikuta tumepoteza kazi nyingi lakini tukijitafakari tunaona kabisa Midomo yetu ni chanzo,Mifano ni mingi sana vitu vingi tunakosa na tunapoteza kutokana na Tabia zetu.

Vashti anasifiwa kwenye Biblia takatifu kuwa alikuwa mzuri sana ila tabia zake zilimfanya akose ndoa.

(Rejea Esta1:12)

Neno “USIOGOPE” kwenye Biblia takatifu limeandikwa mara 365.Hii inaonyesha wazi kabisa kwamba katika kila siku ndani ya ...
01/06/2024

Neno “USIOGOPE” kwenye Biblia takatifu limeandikwa mara 365.

Hii inaonyesha wazi kabisa kwamba katika kila siku ndani ya mwaka(Siku 365) tunakumbushwa kuto kuogopa.

Kuwa kwa Mungu haimaanishi hautokutana na magumu au hautokutana na changamoto hapana ila lililo zuri ni kwamba Mungu anatuhakikishia kuwa nasisi katika kila nyakati(Isaya 41:10)

Mungu anatusisitizia tusiogope sababu anajua kabisa tutakutana na mambo/vitu ambavyo vitatutia Hofu na Woga na Shetani utumia Hofu/Woga kutuangamiza.

Woga/Hofu ufukuza Imani na bila imani hakuna kitu kinaweza timia (Marko 9:23)

Uwe na Mwanzo mwema wa Mwezi June🙏🏿

1 Wakotintho 15.10Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo, na neema yake kwangu haikuwa bure. Badala yake, nilif...
27/04/2024

1 Wakotintho 15.10

Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo, na neema yake kwangu haikuwa bure. Badala yake, nilifanya kazi kuliko mitume wote, ingawaje haikuwa mimi bali ni neema ya Mungu iliyokuwa pamoja nami.

1 Wakorintho 15:10Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo, na neema yake kwangu haikuwa bure. Badala yake, nilif...
27/04/2024

1 Wakorintho 15:10

Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo, na neema yake kwangu haikuwa bure. Badala yake, nilifanya kazi kuliko mitume wote, ingawaje haikuwa mimi bali ni neema ya Mungu iliyokuwa pamoja nami.

19/04/2023
Kwa Heri SACI Joseph Kasike pia Karibu ACI Vincent Haule,Uhamiaji Morogoro🙏🏿Tupigie 0652523646||0621052540
17/04/2023

Kwa Heri SACI Joseph Kasike pia Karibu ACI Vincent Haule,Uhamiaji Morogoro🙏🏿

Tupigie 0652523646||0621052540

Moments at Mwanza,Tanzania🙏🏿
07/04/2023

Moments at Mwanza,Tanzania🙏🏿

Each time a woman stands up for herself, she stands up for all women.Book us for shots 0652523646||0621052540
06/04/2023

Each time a woman stands up for herself, she stands up for all women.

Book us for shots 0652523646||0621052540

May Allah forgive you for your mistakes and shower his blessings upon you. Happy Ramadan.Its all about Ramadhan Fun Run ...
06/04/2023

May Allah forgive you for your mistakes and shower his blessings upon you. Happy Ramadan.

Its all about Ramadhan Fun Run 2023🙏🏿

More Photos at

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vanny_Tom posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category