Mr-adventure

Mr-adventure Animal is a part of our life

11/03/2026

11/03/2026

Fun fact about the Shoebill πŸͺΆ
The shoebill is one of the most mysterious birds in Africa. It can stand completely still for long periods while hunting, waiting patiently before striking its prey with incredible speed.
Its massive shoe-shaped bill is perfect for catching fish, frogs, and even baby crocodiles.
Nature never stops amazing us.

πŸ“² WhatsApp: +255 742 870 511
πŸ“© Plan your Tanzania safari with us.

11/01/2025

The mother lion is responsible for hunting while also protecting and teaching her cubs. The cub, still learning to hunt, would closely observe and stay near the mother as they search for prey such as antelopes or zebras.

10/01/2025

Leo Simba kapatikana 😭

06/01/2025

leopard catching monkeyπŸ€”πŸ“Œ

It's all about adventure πŸ‚πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ΄πŸ¦
11/11/2024

It's all about adventure
πŸ‚πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ΄πŸ¦

Dizzo MdeeMJUE ZAIDI .✍️✍️. KOBEKobe ni mnyama jamii ya Reptilia ambaye kwa kumtazama tu lazima ujiulize maswali mengi.K...
20/11/2022

Dizzo MdeeMJUE ZAIDI .✍️✍️. KOBE
Kobe ni mnyama jamii ya Reptilia ambaye kwa kumtazama tu lazima ujiulize maswali mengi.Kitendo chake cha kuficha kichwa, mwendo wake na gamba lake gumu!!
moja unayotakiwa kuyajua kuhusiana na kobe!
hawezi kuogelea kabisa lakini anaweza kubana pumzi zake kwa muda mrefu sana!! Ukimwondoa Nng’e kobe anafuata kwa uwezo wa kuishi muda mrefu bila kupumua!!!wameweza kuishi kila bara kasoro bara moja tu Antarctica!!
gamba la kobe limeundwa na mifupa 60 tofauti tofauti!! Na mifupa hii yote imeungana.Kobe wa k**e hutaga kati ya mayai mawili hadi kumi na mawili na huchukua siku 90 hadi 120 Pia wa k**e ana uwezo wa kutaga kila baada ya miaka mitatu baada ya kukutana na kobe dume na hatimaye kutotoa!! mkubwa kabisa duniani ana uzito wa kilogram mia saba.. hii inamfanya kuwa reptilia mzito kupita wote!
Ndiye mnyama anayeishi miaka mingi duniani, pengine kuliko wanyama wengine wote hufikia miaka hadi 350, kwa Tanzania tunao wenye miaka 200+, ...

Hii ndio hifadhi iliyo ndogo kuliko zote nchini Tanzania na Afrika ya mashariki.Jina la hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha s...
19/11/2022

Hii ndio hifadhi iliyo ndogo kuliko zote nchini Tanzania na Afrika ya mashariki.Jina la hifadhi ya Taifa ya kisiwa cha saa Nane kinachopatikana katika ziwa Victoria katika mkoa wa Mwanza kimetokana na mtanzania aliyekuwa mvuvi na mmiliki wa kisiwa hiki aliyejulikana k**a Mzee saa Nane Chawandi ambaye aliachia eneo hili la kisiwa kwa serikali ya Tanzania baada ya yeye mzee saa Nane Chawandi kufidiwa gharama za eneo lake na serikali katika miaka ya 1960.
Mara moja serikali ya Tanzania ikalianzisha eneo hili la kisiwa k**a bustani ya Wanyamapori ya kwanza kabisa nchini Tanzania katika mwaka wa 1964.Malengo ya serikali ya wakati wa kipindi kile ilikuwa ni kuendeleza uhifadhi endelevu wa eneo lenyewe pamoja na kuhamasisha na kuelimisha elimu ya utalii na mazingira kwa watanzania wenyewe na wageni kutoka nje ya nchi lakini vilevile ilikuwa na kutoa burudani kwa wakazi wa mji na mkoa wa mwanza na sehemu nyinginezo za mbali.

Tanzania-safariadventureTanzania-safariadventureTanzania-safariadventure
24/10/2022

Tanzania-safariadventureTanzania-safariadventureTanzania-safariadventure

-safariadventure
25/09/2022

-safariadventure

Address

Moshi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr-adventure posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mr-adventure:

Share

Category