Wahenga wa chakwale secondary school

Wahenga wa chakwale secondary school Tangaza Nasi,Toa Taarifa Nasi, Pata Taarifa Nasi.

Get already
02/06/2026

Get already

Huyu ni moja Kati ya zao la CHAKWALE secondary.Taharuki na huzuni zimetujaa wote tunaomfaham hasa kwa ucheshi wake,Kazi ...
29/05/2026

Huyu ni moja Kati ya zao la CHAKWALE secondary.
Taharuki na huzuni zimetujaa wote tunaomfaham hasa kwa ucheshi wake,
Kazi ya mola Haina makosa.

😭😭PUMZIKA KWA AMANI 😭😭

😭💔 FARIDA MNIGA💔😭

Ni Leo tarehe 31.01.2026
31/01/2026

Ni Leo tarehe 31.01.2026

Eb rudisha kumbukumbu wakati upo shule angalau alaf shusha comment yako hapo chini.
19/01/2026

Eb rudisha kumbukumbu wakati upo shule angalau alaf shusha comment yako hapo chini.

Unaikumbuka hii ilikuwa mwaka gani na ilibamba kwa kiasi gani??...
15/01/2026

Unaikumbuka hii ilikuwa mwaka gani na ilibamba kwa kiasi gani??...

Mtaala mpya umewabeba waliofeli kidato cha pili 2025,hamna kurudia WOTE CHA TATU
11/01/2026

Mtaala mpya umewabeba waliofeli kidato cha pili 2025,hamna kurudia
WOTE CHA TATU

11/01/2026

Mtaala mpya umewaokoa waliofeli kidato cha pili 2025/26
k**a ngekewa

10/01/2026

bonyeza hapa chini kuangalia matokea ya upimaji kidato cha pili 2025
👇👇

Yapo tayali yatafute
10/01/2026

Yapo tayali yatafute

17/11/2025

kila la kheri katika safari yenu ya masomo na ikawe kheri
inshallah.
CHAKWALE SECONDARY

Address

Madege/Gairo
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wahenga wa chakwale secondary school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wahenga wa chakwale secondary school:

Share

Category