Msomi Huru Studio

Msomi Huru Studio Creating Memories That Lasts Forever

10/04/2026
08/04/2026

Part Two 🔥🔥🔥

Pastor Ezekiel & Naomi Engagement

pastor Ezekiel Mgonja

Inaendelea ilipoishia...Aidha, kwa makanisa ambayo yanaandaa stakabadhi za zaka, michango nk. product hii inawafaa sana....
30/09/2024

Inaendelea ilipoishia...
Aidha, kwa makanisa ambayo yanaandaa stakabadhi za zaka, michango nk. product hii inawafaa sana.

>> Delivery notes; k**a wewe unafanya biashara ya jumla mfano t-shirts za jumla, viatu kwa bei ya jumla nk. hivi vitabu vinakufaa sana kwa sababu ni vitabu ambavyo unaeleza quantity ya mzigo ambao umefanya delivery na bei zake. Mfano, umesafirisha t-shirts 100 na bei ya kila t-shirt ni 10,000/= basi delivery note yako itaonesha ni kiasi gani cha mzigo uliosafirishwa, umesafirishwa kwa njia gani na unagharimu kiasi gani.

>> Invoice books; hii ni kwa ajili ya kampuni ambazo zinafanya kazi na hutegemea kulipwa mara baada ya kazi kukamilika. Kwa mfano, kampuni za ujenzi, taasisi za utoaji mafunzo nk. Mnaweza kutumia kitabu hiki kueleza namna kazi ilivyofanyika na malipo yanayotakiwa kulipwa mara baada ya kazi.
Aidha, kitabu hiki kinajumuisha pia taarifa za namna ya kufanya malipo mfano kupitia namba za simu, benki au cash in hand nk.

Hivyo basi, baada ya kufanyia majaribio huduma hizi naomba nizilete kwenu nipate pia baraka zenu k**a sehemu kubwa ya wadau na supporters wakubwa wa products na kampuni yetu kwa ujumla.

Bahati nzuri ni kwamba, products hizi zinauzwa kwa bei poa kabisa na tunatoa OFA kwa wateja 10 wa mwanzo ambao wataplace order zao mara baada ya kusoma andiko hili.

Tunafanya delivery mahala popote nchini Tanzania na gharama zake ni rahisi sana na zinazingatia maisha halisi ya mtanzania.

K**a unataka kuwa sehemu ya wanufaika wa OFA ya products hizi unaweza kuwasiliana na makao makuu ya ofisi yetu ili kuweka order kupitia mawasiliano yafuatayo;

Simu: 0764 987 588

Barua pepe: [email protected]

Mitandao ya kijamii (Facebook & Instagram): Msomi Huru Enterprises

Karibuni sana na Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Habari ndugu wafuatiliaji wa ukurasa huu!Napenda kutumia fursa hii kuwashukuru wale wote ambao mmekuwa wafuasi na wafuat...
30/09/2024

Habari ndugu wafuatiliaji wa ukurasa huu!

Napenda kutumia fursa hii kuwashukuru wale wote ambao mmekuwa wafuasi na wafuatiliaji wa machapisho yangu na mmekuwa mkinufaika nayo kwa namna moja ama nyingine. Kwa hakika, mmekuwa chanzo cha mimi kuboresha uwezo wangu kifikra na kimatendo kwa ujumla.

Pia, napenda kuwashukuru kwa kuwa wafuasi na waombezi wa kampuni yetu ya MSOMI HURU ENTERPRISES LTD. Ahsanteni sana kwa kutushauri na kuwa sehemu ya wateja wa products zetu. Mimi k**a CEO najivunia sana uwepo wenu na ninakiri kwamba bila ninyi kampuni yetu ya MSOMI HURU ENTERPRISES LTD isingekuwepo! Ninyi ndiyo uhai wa kampuni hii.

Leo napenda kutumia fursa hii kutambulisha product yetu mpya ambayo tumeizindua hivi punde, hii ni product ambayo tumeifanyia majaribio na tumeisupply kwa wateja ambao wanakiri imekuwa nzuri na imewafaa sana.

Bila shaka ni imani yetu kwamba utakuwa sehemu ya watu wanaofurahia product hii na utakuwa shuhuda wetu kwa wengine.

Product yetu ni 'RECEIPT BOOKS' ambayo tumeigawa katika sehemu kuu tatu;

>> Receipt books; vitabu vya stakabadhi kwa ajili ya wateja wako ambao ukiwahudumia wanataka risiti. K**a wewe unafanya biashara au unatoa huduma yoyote ile mfano biashara ya vifaa vya hardware, hotel, mazao, lodges, guest houses nk. Vitabu hivi hinakufaa sana unapowapatia wateja wako inakuwa uthibitisho tosha wa uhalali wa biashara yako.
Inaendelea chapisho linalofuata...

Address

Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msomi Huru Studio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Msomi Huru Studio:

Share

Category