Amani ya Bwana

Amani ya Bwana Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Amani ya Bwana, Photographer, Mlandizi.

31/08/2020

Na meaka wa uchaguzi tumuombe Mungu atupe kiongozi Bora atakaye ilinda Amani ya Nchi yetu Mwenye Maadili ya Mungu.

04/06/2020

Bwana Wetu Yesu Asfiwe

Jamani humu ndani amjamboni? mbona kimya? Ebu leteni oja tulijenge group letu.
21/07/2019

Jamani humu ndani amjamboni? mbona kimya? Ebu leteni oja tulijenge group letu.

03/07/2019

Bwana yesu asifiwe wapendwa katika bwana abarini za mchana?

23/06/2019

Uck mwema wapendwa Mungu na akujibu itaji la moyo wako
Uamkapo asubuhi muujiza wako
Ukutane nao mlangoni kwako sema Amina na itakuwa ivo

04/06/2019

Bwana Yesu asifiwe wana wa Mungu.

28/05/2019

Kitabu cha Waamuzi kiliandikwa na nani?

28/05/2019

Wapendw Wasomaji wa Bbulia samaanini
Naomba majibu ya swl

28/05/2019

Wapendwa Bwana Wetu Yesu Kristo
Asifiwe Sana

Nawakaribisha
kwenye kikundi cha wacha Mungu uku unaruusiwa kuomba msaada wa maombi iwapo umekumbwa jambo au
kuuliza swali lolote utakalo ona kuwa majibu yake yatawajenga Wakiristo
pia unaruusiwa ktuma umu masomo ya Bbulia au yakuhielimisha jamii kmbuka iwapo
Mtu yeyote akiuliza swali k**a una majibu husiache kumjibu hisipo kuwa swali lisilo na tija husilijibu
ASANTE.

Address

Mlandizi

Telephone

0753423723

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amani ya Bwana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category