25/01/2022
TANGAZO
💥Muhimu: TAFADHALI SOMA MAELEZO YOTE MPAKA MWISHO KABLA YA KUTUMA MAOMBI YA KUJIUNGA
Huduma ya IJUE BIBLIA inapenda kuwatangazia wale wote ambao wanatamani kusoma Biblia Nzima kujiunga na IJUE BIBLIA sasa.
Tutaanza rasmi kusoma Tarehe 01 Februari 2022 . Hakikisha umejiunga kabla ya 01/02/2022.
K**a ulijaribu kusoma Biblia ukaishia njiani, sasa jiunge na timu kubwa ya wasomaji wengine kutimiza lengo lako.
Huduma hii ya Ijue Biblia ilianza rasmi mwaka 2019. Kufikia December 2021 Takriban watu 180 wamemaliza kusoma Biblia nzima na wengine wanarudia kwa mara ya pili, tatu, n.k. Hii ni zamu yako kutimiza malengo yako.
Kumbuka, kusoma Biblia ni sehemu ya kujipatia MAFANIKIO yako ya KIROHO na KIMWILI.
(Yoshua 1:8). “8 Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana”.
Jinsi ya Kujiunga:
1. Save namba moja kati ya hizi 0766 941 259, au 0659 380 001 kwenye simu yako.
2. Fungua sehemu ya kuandika ujumbe mfupi kwenye WhatsApp kisha andika Group code IB2021SE2 ikifuatiwa na JINA lako kamili. Usiandike kitu kingine chochote.
Mfano: IB2021SE2 Aaron Robert
3. Tuma ujumbe huo wa WhatsApp kwenda namba hiyo moja uliyoisave. Usitume SMS ya kawaida, tuma ujumbe kwa WhatsApp ili kurahisisha usajili.
4. K**a unataka kuwaunga wapendwa wako, ili kurahisisha zoezi la usajili usitutumie namba zao ila Waambie wafanye k**a tulivyoelekeza kwenye tangazo hili.
5. K**a Zoezi la kutuma Ujumbe ngumu unaweza Kujiunga kupitia LINK maalumu ya IJUE BIBLIA 2021SE2. Bonyeza LINK Kujiunga na Unaweza kuwatumia Ndugu, Rafiki na Jamaa zako ili nao kupata Fursa ya kusoma Biblia na kukua Kiroho.
https://chat.whatsapp.com/J92xUtZhLFd6dsZWPVDJiP
💥USITUME UJUMBE KWENYE NUMBER ZOTE HAPO JUU KWA PAMOJA, CHAGUA NUMBER MOJA TU KISHA TUMA KWENYE NUMBER HIYO MOJA PEKEE ILI USISAJILIWE MARA MBILIMBILI
Kwa sababu wanaojiunga ni wengi, baada ya kutuma maombi, SUBIRI utaungwa mapema iwezekanavyo kutegemeana na foleni ilivyo.
💥MUHIMU: TUMA UJUMBE HUU KWA WATU WENGINE KWA KADRI UTAKAVYOWEZA KUWAALIKA.
Karibu IJUE BIBLIA 2021SE2.
Robert MacDonald