Hii akaunti imefutwa

Hii akaunti imefutwa Mungu wangu hana upendeleo mambo yote twapokea na kutendewa kutoka kwa Mungu Kwa Neema kwa Maana hat

31/08/2023
05/06/2023

*Kubali ukatae ✍️🤔*
Siku zote mwanadamu yeyote huyaishi Yale anayo yajua(aliyojifunza anayasikia kila Mara)
Kamwe tambua hili huwezi ishi kinyume au nje ya mtazamo pamoja na unayoyajua ..!

Sasa shida sio kujua
Sio mtazamo 👉 Bali
unajua nn kuhusu nn ..!?
Je yapo sahihi.!?
Je yanakutoa sehemu moja Hadi nyingine..!?
Je yanafaida gani ktk Maisha yako..?
Je yanampendeza Mungu..!?
Chambua hayo maswali kibinafsi halafu yachuje na kufokas na Jambo moja {Yale yanayompendeza Mungu pekee.kwnn.?👉hakuna Jambo lolote linalompendeza Mungu lisiwe na Faida ktk Maisha yetu . Hivyo Hilo ni Bora kuliko yote maana ukipata Hilo umepata yote)*

Sifa moja ya mtu mtauwa wa Neno la Mungu hufikiri kabla ya kutenda,hufikiri kabla ya kunena ,
Usilazimishe mtu akuelewe,au aelewe mtazamo wako...!
Na kumwona ni mhasi au la ..!
Bali jitahidi Sana kujijenga ktk kupanua mawazo na Akili kwa kuongeza Maarifa zaidi kwa Neno la Mungu ili Mtazamo wako pamoja na Mwonekano wako ujidhihirishe mbele ya watu Wote bila kutumia nguvu kumlazimisha mtu amjue ,/ajue Mtazamo wako (amjue Mungu wako)
✍️

📢 SAUTI YANGU NI JUU YA WACHUNGAJI ENYI MAKUHANI WA MUNGU? WAHUDUMU WA MADHABAHU?!!!!Naam Bwana asema hiviYoeli 215 Pige...
02/06/2023

📢 SAUTI YANGU NI JUU YA WACHUNGAJI ENYI MAKUHANI WA MUNGU? WAHUDUMU WA MADHABAHU?!!!!

Naam Bwana asema hivi
Yoeli 2
15 Pigeni tarumbeta katika Sayuni, Takaseni saumu, kusanyeni kusanyiko kuu;

Yoeli 2
16 Kusanyeni watu, litakaseni kusanyiko, Kusanyeni wazee, kusanyeni watoto, Na hao wanyonyao maziwa; Bwana arusi na atoke chumbani mwake, Na bibi arusi katika hema yake.

Yoeli 2
17 Hao makuhani, wahudumu wa Bwana, na walie Kati ya patakatifu na madhabahu, Na waseme, Uwaachilie watu wako, Ee Bwana, Wala usiutoe urithi wako upate aibu, Hata mataifa watawale juu yao; Kwani waseme kati ya watu, Yuko wapi Mungu wao?

Yoeli 2
18 Hapo ndipo Bwana alipoona wivu kwa ajili ya nchi yake, akawahurumia watu wake.

BWANA NI MWINGI WA REHEMA SI MWEPESI WA HASIRA, HAKIKA ATAWAPONYA WATEULE WAKE, ATAWASAMEHE WATU WAKE

MRUDIENI BWANA NANYI MKAISHI✳️☘️☘️

01/06/2023

................MTAFUTE YESU NA UMKUBALI ILI UPATE WOKOVU...........

1 YOHANA 5:1-3
¹ Kila mtu aaminiye kwamba Yesu ni Kristo amezaliwa na Mungu. Na kila mtu ampendaye mwenye kuzaa, ampenda hata yeye aliyezaliwa na yeye.
² Katika hili twajua kwamba twawapenda watoto wa Mungu, tumpendapo Mungu, na kuzishika amri zake.
³ Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito.

📌 Yohana anatuambia amri za Mungu wala si nzito.. Embu tuone ni kwa nini sio nzito... 👇

MATHAYO 11:28-30
²⁸ Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
²⁹ Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
³⁰ kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.

📌 👆 Kumbe Yesu Kristo alikuja kwa ajili ya wenye dhambi na anawataka na anawaita.... Anasema waende kwake wale wenye mizigo yawezekana mizigo ni MGONJWA, LAANA, UFUKARA AU UTUMWA WA DHAMBI ANASEMA UKIENDA KWAKE NDIO KUNA PUMZIKO..

📌 Pia anasema NIRA YAKE NI LAINI NA MZIGO WAKE NI MWEPESI..... Kwanza lazima ujue nini maana ya NIRA...

📌 Nira ni k**a kufungamanishwa na mrengo fulani au upande fulani..... Nira ni k**a kifungo, kiambatanisho kufungamanishwa na kitu au kanuni au sheria fulani ambayo unakuwa huna uhuru wa kuenenda k**a unavyotaka bali utaenenda kwa matakwa ya yule aliyekufunga na mtaenda sambamba na wale mliofungwa pamoja....

📌 Kumbuka Nira kwenye tafsiri ya Kiswahili ni kipande cha mti au boriti iliyo katikati ya shingo za jozi za ng'ombe... Mti huu kazi yake ni kuwafanya ng'ombe waende kwa pamoja wasiachane pale wanapolima...... Ndio maana maandiko yanatuambia TUSIFUNGWE NIRA NA WASIO AMINI..... YAANI MTU ASIYEMWAMINI YESU HUPASWI KUFUNGAMANA NAYE........ 👇

2 WAKORINTHO 6:14-18
¹⁴ Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
¹⁵ Ten

05/07/2020

Tanga Mission school

Siri ya machozi haya Mungu Ajua, Siri magumu  hayo uyapitiayo ni Mungu tu Ajua . Siri ya machozi yetu Tumwachie MUNGU  🤷...
14/06/2020

Siri ya machozi haya Mungu Ajua, Siri magumu hayo uyapitiayo ni Mungu tu Ajua . Siri ya machozi yetu Tumwachie MUNGU 🤷🏻‍♂️ haijalishi Gumu kiasi gani Ktk ndoa,Familia,kaxi,au ktk hilo unalopitia haijalishi umeomba Msaada Hupati,🙆‍♂️ YESU akufute machozi,😭 hayo Usilie tena yeye Hawaii wala Hachelewi Atakujia kwa Wakati wake unastahili kwake .

Address

Manyara

Telephone

+255758234373

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hii akaunti imefutwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category