B2j-Production

B2j-Production Tupo kwa ajili ya kuibua na kukuza vipaji vya wasanii wadogo wa filamu hapa nchiniTunajishughulisha na:- Film Production,Video shooting and Editing

08/03/2026
15/10/2025

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Pinno Bora, Juma Ramadhani, Tony Mugisha Shema, Zechariah Maruti Wangwa, Janvier Ninyakira, Eric Jackson, Steven Murphy, Daniel Lyimo, Mahenge Mannow, Master Sapula, Bulemela Mgaka, Lameck Pallangyo, Hamis Nasor, Ndix Ndix, Jose Aenga, Emmanueli Thobias, Nickolesi Lengironi, Billpaul Clinton, Philip Agwa, Derick Joseph, Eliya Muyamba, Emmanuel Manhyandose, Asumani Sadick, William Mambili, Pili Chacha, Felix Iro, Fred Obonyo, John Kasee, Julius Njoroge Njogu, Dalali Cheda Viwanja, Bakari Juma, Rusia Fatuma Dar, Zuhura Othman, Solange Nishimwe, Spizo Juma, Beatrice Akumu, BK Luch, Pachidar Mustapha, Athuman Yusuph, Sokanya Kasoga, Limbu Daudi, Frederick Nzelan, Albert Ositu, Kennedy Wanjala, Sheikh Mzee, Musa Ramadhani, Jentrix Nelima, Hakizimana Gilbert, Dantez Mturu, Salim Kassim

02/09/2024

Mkuu wa Mkoa wa KAGERA Fatuma Mwassa akikagua Banda la READY+ katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani yanayofanyika...
01/12/2023

Mkuu wa Mkoa wa KAGERA Fatuma Mwassa akikagua Banda la READY+ katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani yanayofanyika kimkoa katika viwanja vya KAGERA Sugar wilayani Misenyi mkoani KAGERA




Arsenal  wameliangusha gogo walilolishindwa kea miaka mitano katika Ligi kuu nchini Uingereza. Ft: Arsenal 1:0 Man City ...
09/10/2023

Arsenal wameliangusha gogo walilolishindwa kea miaka mitano katika Ligi kuu nchini Uingereza.

Ft: Arsenal 1:0 Man City

Arsenal wamekwea mpaka nafasi ya pili nyuma ya Tottenham Hotspurs ambao wote wana alama 20.

107.3 Humuliza Fm. Na hapa ni kugusa tu. Kijiji Cha Kibirizi kata ya Kibirizi Bukoba  Vijijini.
09/10/2023

107.3 Humuliza Fm. Na hapa ni kugusa tu. Kijiji Cha Kibirizi kata ya Kibirizi Bukoba Vijijini.

107.3 Humuliza Fm Leo inasikika hapa Shule ya Msingi Karama Kijiji Cha NSHENSHE kata ya Ruokoma Bukoba Vijijini.
08/10/2023

107.3 Humuliza Fm Leo inasikika hapa Shule ya Msingi Karama Kijiji Cha NSHENSHE kata ya Ruokoma Bukoba Vijijini.

Kila mkwezi asuke Jamba yake. Yanga,  Al Ahly  & CR Belozdad kitakonta... Huyo mgana anyooshe mikono mapema..Simba, Wyda...
07/10/2023

Kila mkwezi asuke Jamba yake.

Yanga, Al Ahly & CR Belozdad kitakonta... Huyo mgana anyooshe mikono mapema..

Simba, Wydad & Asec hakuna mjomba Wala Shangazi ... Galx watajibu kwanini walikata Mkoa wa mnyama kwa Mkapa.

KIKAO CHA DHARURA KWA WASANII WA FILAM MKOANI KIGOMAWasanii wote wa filam mkoani Kigoma mnaombwa kuhudhuria kikao maalum...
05/06/2019

KIKAO CHA DHARURA KWA WASANII WA FILAM MKOANI KIGOMA

Wasanii wote wa filam mkoani Kigoma mnaombwa kuhudhuria kikao maalum kitakachojadili ushiriki wa Wasanii kwenye Mazishi ya Mh. TUMAINI BIGIRIMANA yatakayofanyika siku ya jumamosi Tareh 08/06/2019 Nyumbani kwa Mareham Kibondo Kigoma.

Kikao kitafanyikia kesho Alhamis tareh 06/06/2019 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika ukumbi wa Ndela- Mwanga.

Msanii yeyote up at apo ujumbe huu Tafadhali Mjulishe na mwenzako kuhudhuria katika kikao hicho muhimu.

Address

Kigoma

Opening Hours

Monday 08:30 - 18:30
Tuesday 20:30 - 18:30
Wednesday 08:30 - 18:30
Thursday 08:30 - 18:30
Friday 08:30 - 18:30
Saturday 08:30 - 16:30
Sunday 09:00 - 16:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when B2j-Production posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share