Habari za michezo

Habari za michezo habari makini za michezo uhakika mkubwa duniani _👊👊

Permanently closed.
Muhindi mgumu sana 🤣🤣
22/10/2024

Muhindi mgumu sana 🤣🤣

Unajua kwanini Khalid Aucho kaiteka mitandao kuliko hata Ubingwa Ngao ya jamii.ℹNi kiungo Ambaye hatajwi kwenye tuzo za ...
17/08/2023

Unajua kwanini Khalid Aucho kaiteka mitandao kuliko hata Ubingwa Ngao ya jamii.

ℹNi kiungo Ambaye hatajwi kwenye tuzo za Viungo bora lakin ni moja ya kiungo mgumu sana eneo la kati anayeweza kuamuru timu yake icheze veep.

ℹUwezo wake wa Ku Control mchezo ni wa hali ya juu sana,Yeye ndiye anaamua sasa timu icheze kwa Tembo gani huyu ndo The Tank.

ℹDoctor Aucho sio mtu wakukumbatia mpira yeye ni mzee wa Kupokea na kusambaza "Tafsiri ya one Touch football" k**a unataka kuamin ilo kaangalia Game ya Ngao msimu jana goli la kwanza la Mayele.

ℹBaada ya ujio wa Gamondi,Na falsafa yake ya one touch football jina lake la kwanza alilolipata ni Khalid Aucho kwa maana nayeye Muumin wa Mchezo huo.

ℹNi ngumu kumuona Aucho,Akiimbwa saaana maana inahtaji jicho la ziadi kuona anachokifanya ndano ya uwanja la sivyo utaishia kusema wa kawaida.

ℹHakabi saana wala sio mtu wa man to man Marking ila ubora wake upo kwenye kuziba mianya ambayo wapinzani wanapenda kuitumia ndo maana haishangazi kuona inapgwa Pe*******on au kros ukakuta anaokoa Aucho.

ℹKWenye Falsafa ya Bwana Gamondi Unahtaji sana Umahiri wa viungo 3 kati kati ya kiwanja👇

✔Controller
✔Defender
✔Creator

ℹSifa ya kwanza utamkuta Aucho,Sifa ya pili utamkuta Mudathir na sifa ya tatu utamkuta Maxi Nzengeli na iyo ndo Tafsir ya kwanini wanatumika wao mbele ya viungo wengne.

ℹAucho hafungi magoli wala sio mti wa zizou style wala Mzee wa Vidalizi,ila akimua kuuchukua mchezo unaweza kuishia kuwalaumu Wachezaji wa Timu pinzani kwa Uvivu.

ℹHuyu Huyu Khalid Aucho ndiye Ufunguo na mbeba maono wa Falsafa ya Gamondi k**a anavyofanya Chini ya Micho akiwa na Uganda Cranes.

KHALID AUCHO "THE TANK " kwenye io The Tank ongeza na neno "GAME CONTROLLER "

from
zizy_sports

  Mzee zaid duniani.Robert Luis Carmona ana miaka 60   anakiwasha club ya Hacele Un Gol a la Vida.Mchezaji huyo Raia wa ...
08/04/2023

Mzee zaid duniani.

Robert Luis Carmona ana miaka 60 anakiwasha club ya Hacele Un Gol a la Vida.

Mchezaji huyo Raia wa Uruguay hana ata ndoto ya kustaafu.

Eti unamuita Onyango Mzee😃😃

Endapo Chelsea ikifanikiwa kumsajili Enzo Fernandez basi itatakiwa kutumia paundi milioni 141 ambao ni mjumuisho wa pesa...
25/01/2023

Endapo Chelsea ikifanikiwa kumsajili Enzo Fernandez basi itatakiwa kutumia paundi milioni 141 ambao ni mjumuisho wa pesa ya usajili pamoja na kodi za kila kitu mpaka kukamilisha uhamisho huo.

Chelsea imekamilisha usajili wa kiungo fundi Christopher nkunku na atatambulishwa leo
22/12/2022

Chelsea imekamilisha usajili wa kiungo fundi Christopher nkunku na atatambulishwa leo

Jezi mpyaa za Manchester city msimu ujao
25/05/2022

Jezi mpyaa za Manchester city msimu ujao

Address

Bomu
Kigamboni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari za michezo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category