21/12/2025
Kijana huyu ametuleteq Nyimbo Mpya ya Injili, Mimi binafsi imenibariki sana, nisiwe mchoyo nimekuwekea hapo! NAWE Barikiwa pia!
Samwel Elikana Ametoa Nyimbo yake Mpya Ya Injili (GOSPEL) inayoitwa "KUMTUMIKIA MUNGU" Hii ni Video yake ya pili katika mfululizo wa Video Zake zitakazotoka ...