Lipuli Football club

Lipuli Football club Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lipuli Football club, Photographer, Iringa.

26/09/2019

Paul Nonga anatupatia bao la pili.
>Lipuli 2-1 Mbeya City.

03/09/2019

Friendly match:

>Ifakala Combine 0-4 Lipuli fc.

Alhamisi ni Dodoma fc vs Lipuli fc.
Tunatest mitambo tu.
!

25/08/2019

Ft: Lipuli Fc 3-1 Mtibwa Sugar.

!
!
!
!

25/08/2019

LIPULI FC 2-0 MTIBWA SUGAR

⚽Materaz 8'
⚽Saliboko 34'

Ligi kuu Tanzania bara

06/05/2019

Full time
Lipuli fc 2-0 Yanga

14/04/2019
22/03/2019

*TAARIFA*
Tungependa kukanusha vikali taarifa inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii ikimhusisha Selemen Matola ambaye ni Mwalimu Msaidizi wa klabu yetu ya LIPULI na kile kinachodaiwa kuandika ujumbe wa kuishauri klabu ya Yanga kuacha kuihujumu klabu ya Simba katika michuano inayoendelea ya kimataifa. Tunapenda kuutaarifu umma ya kuwa ujumbe huo ni wa kupikwa na unapaswa kupuuzwa mara moja kwani una lengo la kufarakanisha watu na kuharibu taswira ya mtumishi wetu Seleman Matola na klabu yetu kwa ujumla wake. Tunashukuru kwa muda wenu na kwa kutuelewa.
Habari Lipuli Fc.*

Habari za muda huu tunapenda kuwashukuru wanachama na mashabiki Wa   Kwa kuendelea kuiunga mkono popote pale timu inapo ...
19/01/2019

Habari za muda huu tunapenda kuwashukuru wanachama na mashabiki Wa Kwa kuendelea kuiunga mkono popote pale timu inapo kua
baada ya kuvuna point 3 kutoka Kwa Kesho MUNGU akitujaria timu itaondoka hapa Morogoro na kurudi Iringa kwaajiri ya maandalizi ya mechi zinazo fuata

21/10/2018

Full time
Lipuli FC 0-1 Kagera suger

Address

Iringa

Telephone

+255622335522

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lipuli Football club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category