Fredy Njeje Photography

Fredy Njeje Photography I Do Photography This is my official Blog where i post different types of News

Hapa ni Bonde la Isimila Iringa sehemu bora kabisa ya utalii, Eneo ambalo moja ya kipande kinachovutia zaidi katika Fila...
27/03/2026

Hapa ni Bonde la Isimila Iringa sehemu bora kabisa ya utalii, Eneo ambalo moja ya kipande kinachovutia zaidi katika Filamu ya Mufasa the Lion King kutoka kwa waataarishaji wa katuni Walt Disney World walikuja kurekodi wenyewe pasipo kutengeneza mandhari pale Holly Wood k**a tulivyo zoea, ambapo mandhari hiyo ilitoa historia kubwa ya Tanzania na kuonesha uzuri wa nchi yetu duniani kote, maamuzi ya Disney ya kurekodi eneo hili la Isimila ilikuwa ni baada ya wao kutazama Filamu ya Royal Tour iliyoongozwa na Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Kwa Kifupi Mufasa The Lion King ni Filamu ya Katuni inayohusu Maisha ya Wanyama wa Afrika iliyotayarishwa na Disney the world animation ni moja ya filamu iliyovunja rekodi za mauzo tangu ilipozinduliwa rasmi Desemba 2024 huko Marekani na kuoneshwa kwenye majumba ya Sinema na majukwaa ya kidijitali duniani kote, amapo Tanzania imeonekana sana hapo na kufanya watu watamani kuja ona eneo hilo.

Nimetoka Kilometa 500 na kidogo nikitumia zaidi ya masaa saba mpaka kufika eneo hili na kupiga kambi na Kamera zangu kwa lengo moja tu kukusogezea uzuri wa Bonde la Isimila ili nawe Mtanzania mwenzangu upate Shauku ya kuja kujionea mambo mengi usiyo yafahamu, nitakupitisha kila kona ya eneo hili fuatilia hapa.

Eneo hili kwa sasa linasimamiwa na Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA)

Pango la popo ndio mpangoKutoka Kisarawe mpaka Mjini, ma elfu ya popo hawa hutoka usiku kuelekea jijini Dar es Salaam kw...
31/12/2025

Pango la popo ndio mpango

Kutoka Kisarawe mpaka Mjini, ma elfu ya popo hawa hutoka usiku kuelekea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kutafuta chakula na baadaye kurejea katika makazi yao na katika pango hilo kuna aina zaidi ya 5 za popo na ukitaka kufahamu zaidi fika eneo hilo kutalii na utaelezewa mambo mengi sana, pia wengi tunaufahamu mto msimbazi lakini hatujui chanzo chake ukifika katika eneo hilo basi utapata kuoneshwa kila kitu. Mimi nimefika na kukuletea picha hapa sasa kazi kwako na wewe kwenda huko. 

Ikiwa unafahamu zaidi kuhusiana na utalii wa pango hili la popo tuambie hapa katika comment 

Nikiwa ndani ya pango huku popo wakiwa wamezingira Kamera yangu ma elfu kwa maelfu k**a inavyoonekana katika picha nilip...
31/12/2025

Nikiwa ndani ya pango huku popo wakiwa wamezingira Kamera yangu ma elfu kwa maelfu k**a inavyoonekana katika picha nilipata wasaa wa kumsikiliza muongoza utalii ambapo alinieleza mambo mengi lakini kubwa nilitaka kufahamu kwa nini mtanzania atembelee eneo hilo la hifadhi ambalo linasimamiwa na TFS, jamaa alinieleza kuwa pango hilo ni kivutio kizuri cha utalii na akaendelea mbele zaidi kuwa maelfu ya popo hao wanaishi na mende ambao nao wapo maelfu kwa maelfu lakini hakuna ambaye anamuathili mwenzake popo hamli mende wala mende hali popo hata k**a amekufa, lakini mende wanafaidika kwa kuwa  wanakula kinyesi cha popo na popo wanajitaftia chakula chao waishi

Tembelea hapo ukajionee mengi sana.

Ikiwa unafahamu zaidi kuhusiana na utalii wa pango hili la popo tuambie hapa katika comment 

Karibu katika Pango la Popo Pugu Kazimzumbwi - KisaraweNi ma elfu kwa ma elfu ya popo wanaopatikana katika pango kubwa l...
31/12/2025

Karibu katika Pango la Popo Pugu Kazimzumbwi - Kisarawe

Ni ma elfu kwa ma elfu ya popo wanaopatikana katika pango kubwa lililopo katika Hifadhi ya Msitu wa Pugu Kazimzumbwi unaosimamiwa na wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), ni moja ya eneo bora kwa ajili ya utalii wa ndani kwa wazawa na wageni kutoka katika pande mbalimbali za Dunia.

Nikiwa k**a mdau wa uhifadhi na utalii kupitia kampeni yangu ya inayohamasisha wazawa kutembelea vivutio nami nilifanikiwa kutembelea eneo hilo ambapo nilikutana na mambo mengi sana na ambayo nilikuwa siyajui na zaidi kuyafahamu Maisha popo na mishe mishe zao

Kwa ufupi tu Hifadhi hiyo inapatikana wilayani Kisarawe mkoani Pwani lakini kwa anayetokea Jiji la Dar es Salaam kwake inakuwa rahisi kabisa.Ndio kwanza panafika kwa urahisi kutokana na uwepo wa barabara kuu inayounganisha Pwani na Dar es Salaam.Kwa anayetokea Posta Mpya jijini Dar atatembea umbali wa kilometa chache tu anakuwa amefika.Umeona palivyo karibu.

Tembelea hapo ukajionee mengi sana.

Ikiwa unafahamu zaidi kuhusiana na utalii wa pango hili la popo tuambie hapa katika comment 


In essence, Nyerere Square is more than just a park; it's the heart of Dodoma, reflecting its history, culture, and forw...
30/12/2025

In essence, Nyerere Square is more than just a park; it's the heart of Dodoma, reflecting its history, culture, and forward-looking community.

It's a vibrant hub in the city's heart, featuring green spaces, trees, and often hosting markets and photoshoots, with n...
30/12/2025

It's a vibrant hub in the city's heart, featuring green spaces, trees, and often hosting markets and photoshoots, with nearby eateries offering local tastes. 

Karibu  Nyerere Square DodomaNyerere Square in Dodoma, Tanzania, is a central, iconic public space named for the nation'...
30/12/2025

Karibu Nyerere Square Dodoma

Nyerere Square in Dodoma, Tanzania, is a central, iconic public space named for the nation's founding father, Julius Nyerere, serving as a landmark for relaxation, social gatherings, cultural events, and a tribute to his legacy of leadership and integrity. It's a vibrant hub in the city's heart, featuring green spaces, trees, and often hosting markets and photoshoots, with nearby eateries offering local tastes. 

Several mythical and awe-inspiring stories surround the caves. The locals believe that the caves possess supernatural fo...
29/12/2025

Several mythical and awe-inspiring stories surround the caves. The locals believe that the caves possess supernatural formations where supernatural powers known as “Mizimu” are said to have resided since the cave’s formation. There are also sacred chambers for worshiping certain spirits. One of them is called “Mzimu wa Mabuvu.” According to the locals, the powerful spirit can bless them with wealth and lessen their sickness and sufferings.

The Amboni caves, which are home to a large number of bats, were traditionally thought to be home to various spirits and...
29/12/2025

The Amboni caves, which are home to a large number of bats, were traditionally thought to be home to various spirits and are still used for worship and rituals by the locals. History has it that the caves were originally thought to extend 200 km or more

.

Habari Karibu Amboni CavesThese fascinating Caves are Tanzania's most extensive limestone caves, located 8 kilometers no...
29/12/2025

Habari Karibu Amboni Caves

These fascinating Caves are Tanzania's most extensive limestone caves, located 8 kilometers north of Tanga region in Kiomoni village along Mombasa-Tanga highway. The caves are believed to have been formed around 150 million years ago during the Jurassic period and cover nearly 234 square kilometers.

The caves area is distinguished by rock-walled gorges, limestone pavements cut by deep fissures and dongas, fields of eroded limestone pillars, and extensive systems of caves and rock shelters opening to the surface within the gorges. There are a total of ten caves altogether and have a number of chambers that are quite dark inside; however, only one is open for guided tours and can be easily accessed in this method.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fredy Njeje Photography posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fredy Njeje Photography:

Share