Msambaa The Photographer

Msambaa The Photographer Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Msambaa The Photographer, Photographer, Mwenge Mlalakuwa Street, Plot No 90, Opposite Suma JKT Lugalo Kilimo Kwanza, Dar es Salaam.

01/01/2026

Hatimaye kwa Neema ya MUNGU tumevuka mwaka mwingine tena..
Tumpe MUNGU nafasi ya kwanza kwenye kila Mpango wa hatua ya safari ya maisha yetu..๐Ÿ“š Happy New Year 2026. ๐ŸŽ‰๐ŸŽ

Age Go, mwanangu Ankoli.. Hiyo Roho ya Mtume Paulo achana nayo, Unahitaji Mtu wa kukusaidia kuanua nguo mvua ikinyesha h...
04/09/2025

Age Go, mwanangu Ankoli.. Hiyo Roho ya Mtume Paulo achana nayo, Unahitaji Mtu wa kukusaidia kuanua nguo mvua ikinyesha haupo nyumbani na wa kukufungulia geti usiku wa manane unapotoka mihangaikoni kuusaka mkate wako wa kila siku na Akusaidie kuhesabu pesa ulizorudi nazo๐Ÿ˜†๐Ÿ˜... Tafuta familia yenye binti mzuri uwape Ng'ombe alienona wakupe binti yao uondokenae mkaishi kwako.. Mwa 2:24 , Efe 5:31
Siyo vema na haki Ankoli kuwa peke yako.โœŠ๐Ÿฝ๐Ÿพ๐ŸŽ‚๐Ÿฅ‚
Katika hayo yooote MUNGU Roho mtakatifu akuongoze vyema ujipatie kitu chako Chema sawa sawa na neno lake Mith 18:22
#0309

It's Palm Sunday... ๐ŸŒด Wishes from  powered by
13/04/2025

It's Palm Sunday... ๐ŸŒด Wishes from powered by

Jitahidi sana uwepo kwenye orodha ya marafiki zako bora, Uanze kwa kujitaja ama uhitimishe ukurasa wa orodha hiyo kwa ku...
09/03/2025

Jitahidi sana uwepo kwenye orodha ya marafiki zako bora, Uanze kwa kujitaja ama uhitimishe ukurasa wa orodha hiyo kwa kujitaja. โœŠ๐Ÿฝ
#

Tujifunze kwa Maendeleo ya watu..
08/03/2025

Tujifunze kwa Maendeleo ya watu..

MUNGU ni mwema sanaa..Nadhiri ya NDOA takatifu Imetimia,Sasa si wawili tena Bali ni mwili mmoja. Mr &Mrs.
04/11/2024

MUNGU ni mwema sanaa..Nadhiri ya NDOA takatifu Imetimia,Sasa si wawili tena Bali ni mwili mmoja.
Mr &Mrs.

Sunday Blessings.โœŠ๏ธ๐Ÿ“šExodus 3:13 - 18 Kutoka.๐ŸŒฑChangamoto yako siyo kubwa kuliko MUNGU.
13/10/2024

Sunday Blessings.โœŠ๏ธ
๐Ÿ“šExodus 3:13 - 18 Kutoka.
๐ŸŒฑChangamoto yako siyo kubwa kuliko MUNGU.

Happy SUNDAY โœŠ๐Ÿฝ๐Ÿพ
21/07/2024

Happy SUNDAY โœŠ๐Ÿฝ๐Ÿพ

Book of JONATHAN ๐ŸŽ๐Ÿ“šโค๏ธ
15/01/2024

Book of JONATHAN ๐ŸŽ๐Ÿ“šโค๏ธ







Kile unachopenda sisi Tunakipendezesha. Cc
05/12/2023

Kile unachopenda sisi Tunakipendezesha. Cc

Address

Mwenge Mlalakuwa Street, Plot No 90, Opposite Suma JKT Lugalo Kilimo Kwanza
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msambaa The Photographer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category