06/10/2026
Kampuni ya Who Media Productions imekuwa miongoni mwa wageni waalikwa walioshiriki uzinduzi wa Kitengo cha Afya ya Kinywa na Meno (Dental Unit) katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam.
Hafla hiyo imeongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya (Dawa na Vifaa Tiba), Bw. Emmanuel Tayari, akishirikiana na CEO wa Aga Khan, Sisawo Konteh pamoja na Bodi ya hospitali hiyo.
Who Media Productions inawapongeza uongozi wa Aga Khan na madaktari wote kwa hatua hii muhimu ya kuimarisha sekta ya afya