15/05/2025
Hakuna ubaya kujiandaa na kesho, lakini tunapaswa kufanya hivyo kwa hekima tusiruhusu hofu ya kesho kututeka kiasi cha kupoteza utulivu na thamani ya leo.
Ni vizuri kuishi kwa imani huku tukitumia maarifa kufanya maandalizi ya kesho bila kuwa watumwa wa wasiwasi.