Bonge la Studio

Bonge la Studio Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bonge la Studio, Photography Videography, Tabata, Dar es Salaam.

Let us tell you a story;

We completed a client's task with high level of creativity, she was shocked, she asked, "What were you thinking to come up with something amazing like this?"

"OUT OF common MINDs" We replied;

Kesho tutafanya hivi - List ya Movie kali unazoweza kutazama Valentine Day. K**a bado huja-subscribe bonyeza link ili us...
13/02/2020

Kesho tutafanya hivi - List ya Movie kali unazoweza kutazama Valentine Day. K**a bado huja-subscribe bonyeza link ili usipitwe. https://youtu.be/3WB7nhy5zZ8

04/02/2020

Moive hii inamuhusu Haley Keller, msichana ambaye yeye pamoja na baba yake wananasa kwenye nyumba iliyojaa maji kipindi cha mafuriko, huku ndani ya nyumba hiyo kukiwa na familia ya mamba Konki ambao wameletwa na mafuriko kutoka kwenye mto uliopo karibu na nyumba hii. Tazama FULL VIDEO hapa: https://youtu.be/3WB7nhy5zZ8

SIMULIZI ZA FILAMU ya Ready or NotMovie hii imetoka tarehe 21 mwezi wa 8. Inamuhusu Grace, msichana anayeolewa na mwanau...
07/01/2020

SIMULIZI ZA FILAMU ya Ready or Not

Movie hii imetoka tarehe 21 mwezi wa 8. Inamuhusu Grace, msichana anayeolewa na mwanaume anayotoka katika familia ya matajiri wakubwa wanaomiliki makampuni ya bahati nasibu na casino — lakini utajiri wa familia hii unatokana na nguvu za giza.

Movie inaanza ikimuonesha Grace akifunga ndoa kwenye Jumba kubwa la Kifahari la familia hiyo, na baada ya ndoa familia inamueleza kuwa wanatakiwa wacheze mchezo wa bahati nasibu kwa kutumia karata k**a ishara ya kumkaribisha mtu mpya kwenye familia.

Bila kujua hatari ya mchezo huo— Grace anakubali kucheza, anapewa karata, anachagua. Na karata aliyochagua inatoa maelekezo kwamba Grace anatakiwa ajifiche ndani ya jumba hilo — kisha familia nzima isipokuwa mume wake imsake na ikimpata imuue. Na ikiwa hawatampata mpaka asubuhi, familia nzima itakufa pamoja na mume wake kipenzi Alex.

Kuanzia hapo usiku wa harusi unabadilika kuwa usiku wa mauaji ya kutisha ndani ya nyumba na mshike mshike wa sakasaka unapamba moto kadri muda unavyozidi kwenda na asubuhi inapokaribia.

Bonyeza Link kutazama movie zingine kali mwaka 2019:

Mwaka 2019 ulikuwa ni mwaka wa movie kali pekee. Sasa leo tunakupa orodha ya movie 10 tulizolikubali zaidi mwaka jana. Chagua ambayo hujaiona utazame. Hii ni...

14/12/2019

Movie hii inamuhusu Christine Brown — afisa mikopo wa benki Marekani ambaye anarogwa na Bibi mwenye asili ya Kimexico kwa sababu ya kukataa kumuongezea muda wa kulipa deni lake.

Movie inaanza bibi huyu akiwa benki, akimuomba Christine azungumze na bosi wake ili aongezewe muda wa kulipa deni ili asipoteze nyumba yake ambayo aliiweka dhamana wakati anachukua mkopo.

Sasa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake Chirstine anamuelezea kuwa haiwezekani. Bibi anaanza kupiga magoti akimlilia na kumshkilia miguu dada huyu ambaye kwa bahati mbaya, akiwa anataka kumtoa kwenye miguu yake anamsuka na bibi anaanguka.

Bibi anatazama tukio hili k**a udhalilishaji na baada ya hapo anamroga Christine kwa kutumia kifungo cha koti lake — Sasa Chiristina anaanza kukutana na mauzauza na baada ya kugundua kuwa amefanyiwa ubaya na yule bibi, anaenda kumomba bibi msamaha kwa kile kilichoteoea, lakini akifika nyumbani wa bini huyo anakuta msiba, na anapouliza anaambiwa bibi ameshafariki, na leo ndo tunaenda kuzika, kwahiyo sasa Chirtsina anatakiwa apambane na hali yake kutafuta suluhisho la mauza mauza anayokutana nayo kwa sababu aliyemroga kafa.

Movie imedirectiwa na Sami Raimi — moja wa madirector na waandaji bora sana wa movie za kutisha.

BONYEZA LINK UTAZAME VIDEO NZIMA. https://youtu.be/6wF0DpPxHBo

Kuangalia movie ni rahisi sana, shida ipo kwenye kuchagua movie ya kuangalia. Tazama hizi wikendi hii1. Tazama movie ya ...
07/12/2019

Kuangalia movie ni rahisi sana, shida ipo kwenye kuchagua movie ya kuangalia. Tazama hizi wikendi hii

1. Tazama movie ya mchepuko anayefia chumbani kwa mume wa mtu.

2. Tazama movie ya wafanyakazi 80 wanaofungiwa ofisini na kulazimishwa kuana.

3. Tazama movie ya jamaa anayetekwa na wabaguzi wa rangi na kulazimishwa achague kati ya kukatwa ulimi au uume.

4. Tazama movie ya jinsi mpira wa miguu ulivyoanza duniani.

5. Tazama movie mpya ya Eddy Murphy na Will Smith.

BONYEZA LINK:

Unapenda movie, lakini unapata ugumu wa kuchagua movie ya kuangalia? Tazama episode ya nne ya WATCH-LIST; kipindi kinachokupa orodha ya movies 10 kali unazow...

07/12/2019

Kuangalia movie ni rahisi sana, shida ipo kwenye kuchagua movie ya kuangalia. Tazama hizi wikendi hii

1. Tazama movie ya mchepuko anayefia chumbani kwa mume wa mtu.

2. Tazama movie ya wafanyakazi 80 wanaofungiwa ofisini na kulazimishwa kuana.

3. Tazama movie ya jamaa anayetekwa na wabaguzi wa rangi na kulazimishwa achague kati ya kukatwa ulimi au uume.

4. Tazama movie ya jinsi mpira wa miguu ulivyoanza duniani.

5. Tazama movie mpya ya Eddy Murphy na Will Smith.

BONYEZA LINK: https://youtu.be/-jRyaufT9nk

25/10/2019

Tazama movie ambayo mwanzo mwisho inamuonesha mtu mmoja tu amefukiwa kaburini kwenye jeneza; na movie nyingine 9 kali unazoweza kutazama WIKENDI hii.

Bonyeza LINK: https://youtu.be/0wAOEf81Zws

24/10/2019

Ndani ya MOVIE ya Downsizing kuna mwanasayansi anagunda mashine ambayo inaweza kupunguza umbile la binadamu kuwa k**a kidole tu cha mkono.

Lakini mchakato huu hauna kurudi nyuma, ukishapunguzwa huwezi tena kurudi katika umbile lako la kawaida.

Matt Damon na mke wanakubaliana kufanya huu mchakatao. Lakini tatizo linaibuka pale ambapo, baada ya kuingizwa kwenye mashine, ambapo kila mtu huingizwa kwenye mashine yake, Matt Damon anapunguzwa, lakini anapotoka akiwa mdogo, anaambiwa kwamba mke wake alighairi kabla ya mchakato kuanza. Kwahiyo alibaki mkubwa.

Tazama list ya movie 10 za kutazama wikendi hii kwenye YOUTUBE yetu. Bofya Link: https://www.youtube.com/watch?v=uVyYyzmBT5o

Address

Tabata
Dar Es Salaam

Telephone

+255713482816

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bonge la Studio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bonge la Studio:

Share