Dikies jr

Dikies jr NA MATUKIO...!!

WANAUME WOTE WA BONGO MMESHINDWA KUNIPA MIMBA KWELI !!!!!
08/03/2025

WANAUME WOTE WA BONGO MMESHINDWA KUNIPA MIMBA KWELI !!!!!

๐Ÿšจ KARIAKOO DERBY KINAPIGWA LEO !!๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ YANGA SC ๐Ÿ†š SIMBA SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ“… Machi 08,2025๐ŸŸ Benjamin Mkapa, DAR ES SALAAM โฐ 19:15๐Ÿ† Ligi K...
08/03/2025

๐Ÿšจ KARIAKOO DERBY KINAPIGWA LEO !!

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ YANGA SC ๐Ÿ†š SIMBA SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
๐Ÿ“… Machi 08,2025
๐ŸŸ Benjamin Mkapa, DAR ES SALAAM
โฐ 19:15
๐Ÿ† Ligi Kuu

HII LEO UTABIRI WAKO UPOJE โ‰๏ธ๐Ÿ‘‡

KILA LAKHERI &

SIMBA WA TATU,YANGA BINGWA.FULL TIME โฐโžก๏ธ Mshindi wa tatuSimba Queens 2๏ธโƒฃ โž– 1๏ธโƒฃ Fountain Gateโžก๏ธ FainaliJKT Queens 0๏ธโƒฃ โž– 3...
06/03/2025

SIMBA WA TATU,YANGA BINGWA.
FULL TIME โฐ

โžก๏ธ Mshindi wa tatu
Simba Queens 2๏ธโƒฃ โž– 1๏ธโƒฃ Fountain Gate

โžก๏ธ Fainali
JKT Queens 0๏ธโƒฃ โž– 3๏ธโƒฃ Yanga Princess

โœ… Yanga Princess ni mabingwa wa Kombe la wanawake la Samia 2025 lililofanyika jijini Arusha huku watani wao wa jadi Simba Queens wakishika nafasi ya tatu.

kajala nini kimemkuta tena ๐Ÿ˜ญkafanya nini Kajala Masanja dah pole sana mkwe wake Marioo ๐Ÿ˜ญ
05/03/2025

kajala nini kimemkuta tena ๐Ÿ˜ญ

kafanya nini Kajala Masanja dah pole sana mkwe wake Marioo ๐Ÿ˜ญ

Kwamba TFF impige mvua ya miaka miwili Kijana wake Ally Kamwe? Nimeona taarifa kwa Ndugu yangu Mkomwa, nimewaza sana kwa...
05/03/2025

Kwamba TFF impige mvua ya miaka miwili Kijana wake Ally Kamwe? Nimeona taarifa kwa Ndugu yangu Mkomwa, nimewaza sana kwamba TFF k**a Taasisi yetu tunayoiamini ifikie maamuzi k**a haya? Labda wacha tusubiri taarifa rasmi, lakini k**a ni kweli basi inafikirisha sana.

Kamwe ametiwa hatiani kwa kosa liloitwa la UDHARIRISHAJI, kwamba udharirishaji aliofanya ni kupost โ€œLeo Mjadala redioni 90% ni kuhusu Makolo na Waamuziโ€ hapo ndipo wakamtia hatiani kwa kudharirisha, lakini nimewaza sana, Ally ni wa kwanza kulaumu? Hao Makolo ni nani? Wanashiriki ligi gani? Ni timu gani? Bado inafikirisha sana, kwamba kuna timu inachezeshwa na Marefa wetu inaitwa Makolo?

Tufanye ni kosa lakini ije na adhabu ya miaka miwili? Nakumbuka kuna Msemaji alifanya kosa k**a hili alifungiwa miezi mitatu, je utofauti wake na Ally ni upi? Miaka miwili imetokana na nini? Je ni TFF tu au kuna Mtu ndani pale au nje yupo nyuma ya mchezo akisukuma kete zake kwa umakini? Ni kosa kubwa kiasi hicho mpaka tumpoteze Kijana wetu kwa miaka miwili?

Kwamba tunashindwa kuvumiliana? Kuadhibiana kwa kuhurumiana? K**a ambavyo Wadau wa soka wamekuwa wakiwavumilia Waamuzi? Sikatai amekosea lakini nakataa ukubwa wa adhabu, sitaki kuamini mpaka nione taarifa rasmi ila k**a kweli ni miaka miwili basi huenda ikawa adhabu kubwa zaidi kuwahi kutolewa kwa kosa dogo zaidi, inafikirisha, siamini k**a taasisi yetu penda ikatoa adhabu k**a hii, unless kuwa na Mtu anashawishi.

Nachofahamu Chura hawezi kuruka mchana wa jua kali tena nchi kavu k**a hakuna kitu kinachomkimbiza.
AMEANDIKA FARHAN JR.

ZUCHU AUMIA AKIWA GYM DIAMOND AMPA POLE PUNGUZA MAZOEZI MKE WANGU NAKUPENDA
05/03/2025

ZUCHU AUMIA AKIWA GYM DIAMOND AMPA POLE PUNGUZA MAZOEZI MKE WANGU NAKUPENDA

Sema hizi gari za Mixx by yas nzuri isee ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
05/03/2025

Sema hizi gari za Mixx by yas nzuri isee ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

MATOKEO YA MECHI ZA UEFA JANA NA WAFUGAJI WAKE.FULL-TIME SCORES โคต๏ธ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Club Brugge 1-3 Aston Villa ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ.[De Cuyper 12'โž–...
05/03/2025

MATOKEO YA MECHI ZA UEFA JANA NA WAFUGAJI WAKE.

FULL-TIME SCORES โคต๏ธ
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Club Brugge 1-3 Aston Villa ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ.
[De Cuyper 12'โž–Bailey 3', Mechele 82' OG,Asensio 88' PEN]

๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Borussia Dortmund 1-1 Lille ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท.
[Adeyemi 22'โž–Haraldsson 68']

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ PSV Eindhoven 1-7 Arsenal ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
[Lang 43' PEN โž–Timber 18',Nwaneri 21',Merino 31', ร˜degaard 47',73',Trossard 48',Calafiori 85']

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Real Madrid 2-1 Atletico Madrid ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
[Rodrygo 4',Diaz 55'โž–รlvarez 32']

๐—ง๐—™๐—™Hiyo michezo yenu ambayo Mnataka kuleta k**ati ya maadili ni ya kitoto sana ๐Ÿซฐ na yakishamba sana.K**a kosa Msemaji wa...
03/03/2025

๐—ง๐—™๐—™

Hiyo michezo yenu ambayo Mnataka kuleta k**ati ya maadili ni ya kitoto sana ๐Ÿซฐ na yakishamba sana.K**a kosa Msemaji wa Yanga akafanya Feb 13, Maamuzi ndiyo yaanze kufanyakia wiki hii ?.

Kida.... Punguza mahaba na timu yako,Tushapata taarifa kuwa Mnataka kumfungia Msemaji wa Yanga,halafu Msemaji wa timu yako mumpe faini ya 1,000,000|= na onyo Kali,Acha ujinga Kida...Wananchi tupo busy wiki hii kujiandaa na Dabi hii.

NB;Tawi la Mabibo (MAKOLO ๐Ÿซต) Wapeni hamasa timu yenu tu hiyo michezo ambayo mnafanya nje ya uwanja itawagharimu.

Baada ya mashindano ya BSS kutamatika huku  akiwa k**a mgeni rasmi wa mashindano hayo ,alipata wasaha wa kuzungumza mane...
03/03/2025

Baada ya mashindano ya BSS kutamatika huku akiwa k**a mgeni rasmi wa mashindano hayo ,alipata wasaha wa kuzungumza maneno machache kuhusiana na vipaji vilivyoonekana siku hiyo, huku akiwahidi kuwasaini washindi wawili kwenye lebo yake ya Wasafi.

Baada ya kutangaza ahadi hiyo, saa bana, Jaji wa mashindano hayo na mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania , ameonekana kupinga kauli ya Diamond na kusema kuwa โ€˜k**a Diamond atawasaini vijana hao basi atastaafu kuwa Jaji wa mashindano hayo. Maana ndio ilikua ndoto yake.

Address

255
Dar Es Salaam

Telephone

+255682158878

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dikies jr posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dikies jr:

Share