Jujó Yanga News

Jujó Yanga News Sports news

Tumewaibiwa bwana 🤣🤣🤣🤣    Amefata furaha...
12/12/2025

Tumewaibiwa bwana 🤣🤣🤣🤣

Amefata furaha...

🚨 JUSTIN: Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga,  Clement Mzize 🇹🇿 pamoja na Beki wa kulia wa Klabu hiyo, Yao Kouassi wanataraj...
10/12/2025

🚨 JUSTIN: Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Clement Mzize 🇹🇿 pamoja na Beki wa kulia wa Klabu hiyo, Yao Kouassi wanatarajia kurejea rasmi uwanjani kucheza mechi za Kimashindano mwishoni mwa Mwezi January au Mwanzoni mwa Mwezi Februari ambapo watakuwa wamepona kwa asilimia 100 tayari kwa kuwatumikia Wananchi.
Kwenye taarifa iliyotolewa na Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema wachezaji hao kwa sasa wanaendelea vizuri na wataanza kucheza mechi za kimashindano Ligi itakaporejea mara baada ya Michuano ya AFCON.
Kwa upande wa Mudathir Yahya, Ally Kamwe amesema kiungo huyo anaendelea na matibabu ambapo kwa mjibu wa madaktari kiungo huyo atakuwa tayari kucheza mwanzoni mwa mwezi January.

🟩🟨⬛️TAARIFA RASMI KUHUSU MCHEZAJI YAO ATTOHOULA...✍️🔰...Mchezaji Yao Attohoula ambaye ni kitambo sasa yupo nje ya uwanja...
10/12/2025

🟩🟨⬛️TAARIFA RASMI KUHUSU MCHEZAJI YAO ATTOHOULA...✍️

🔰...Mchezaji Yao Attohoula ambaye ni kitambo sasa yupo nje ya uwanja, rasmi ametoka kwenye idara ya matibabu na sasa yupo chini ya Idara ya Fitness iliyo chini ya kocha wetu wa viungo, Chyna Mokaila. Mchezaji kutoka kwenye uangalizi wa madaktari ni hatua nzuri ya matumaini kwani inaonesha wakati wowote ataanza kuonekana uwanjani.

🔰...Aidha, Madaktari wamethibitisha kwamba mpaka kufikia mwezi wa kwanza mwishoni basi Yao Jeshi atakuwa fit kabisa na ataanza rasmi kujumuika na wenzake. K**a sio mwezi wa kwanza mwishoni basi mwanzoni tu mwa mwezi wa pili kila kitu kitakuwa sawa kabisa.
'.Karibu tena Yao Jeshi🤝


10/12/2025

PRESS💬

"Benchi letu la ufundi limetangaza mapumziko kuanzia tarehe 7 Desemba mpaka tarehe 15 Desemba, wakirejea tarehe 15 watafanya mazoezi mpaka tarehe 20 Desemba kisha watapumzika tena mpaka tarehe 28 Desemba. Wachezaji watapata fursa ya kwenda kusherehekea sikukuu na familia zao" Ally Kamwe


PRESS💬"Benchi letu la ufundi limetangaza mapumziko kuanzia tarehe 7 Desemba mpaka tarehe 15 Desemba, wakirejea tarehe 15...
10/12/2025

PRESS💬

"Benchi letu la ufundi limetangaza mapumziko kuanzia tarehe 7 Desemba mpaka tarehe 15 Desemba, wakirejea tarehe 15 watafanya mazoezi mpaka tarehe 20 Desemba kisha watapumzika tena mpaka tarehe 28 Desemba. Wachezaji watapata fursa ya kwenda kusherehekea sikukuu na familia zao" Ally Kamwe


Gamond! GAMOND!GAMOND!!UNAMUACHAJE ISRAEL PATRICK, alfu unasema na Babu..😰😰😰
09/12/2025

Gamond! GAMOND!GAMOND!!

UNAMUACHAJE ISRAEL PATRICK, alfu unasema na Babu..😰😰😰

DAR ES SALAAM: Kiungo mshambuliaji wa Young Africans, Pacome Zouzoua ameachwa kwenye kikosi cha Ivory Coast kinachoeleke...
09/12/2025

DAR ES SALAAM: Kiungo mshambuliaji wa Young Africans, Pacome Zouzoua ameachwa kwenye kikosi cha Ivory Coast kinachoelekea Morocco kwa ajili ya mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON).
-
Mastaa wengine walioachwa ni Simon Adingra anayekipiga Sunderland, Nicolas Pepe wa Villareal na wengine.
-
Michuano ya AFCON itaanza kupigwa Desemba 21, mwaka huu. Kwa upande wa Ivory Coast wataanza na Msumbiji Desemba 24.
-

😂😂😂😂
24/08/2025

😂😂😂😂

THIRD KIT
24/08/2025

THIRD KIT

A way KIT
24/08/2025

A way KIT

𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔
24/08/2025

𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔

Siku Ya mnyama kuliwa kiboga😄😄😄
20/08/2025

Siku Ya mnyama kuliwa kiboga😄😄😄

Address

Kimara
Dar Es Salaam
SPORTS

Telephone

+255789499140

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jujó Yanga News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jujó Yanga News:

Share

Category