Fomboy838

Fomboy838 Fomboy838 more stories
(FUTURE WAY)
🫰✊️
Follow πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

27/01/2026

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ manina ????

27/01/2026
27/01/2026

🀣🀣🀣

27/01/2026

YOMBO MSUKUMAοΏ½ pita nayo hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Fomboy838 Recho Mika MWAISA MTU MBADI

21/01/2026

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wana kijiji walikua mwaka wa mbele 🀣🀣

02/09/2025

UKWELI KUHUSU MTOTO KIFUNGUAMIMBA

1. Wazazi wakizeeka kifunguamimba huhitajika kuwalinda na kuwapa mahitaji yao .

2. Kifunguamimba huhitajika kuwa kielelezo kwa ndugu zake wadogo licha ya kuwa yeye si mkamilifu.

3. Kifunguamimba huhitajika kusomesha wadogo zake hata k**a hana kazi.

4. Kifunguamimba huhitajika kusuluhisha mizozo inayohusu wazazi wake na wadogo zake.

5. Kifunguamimba mimba huchukuliwa k**a kichwa cha familia baada ya baba.

6. Kifunguamimba huwa mara nyingi hana mtu wa kumsaidia akitaka usaidizi.

7. Kifunguamimba husoma na kuishi kwa taabu hasa pale ambapo wazazi hawana mali yoyote.

8. Kifunguamimba huchoka sana kutokana na majukumu mengi anayohitaji kutekeleza.

9. Mke au mume wa kifunguamimba huwa mara nyingi hamuelewi na badala yake kumlaumu kwa kutoshughulikia familia yake.

10. Kifunguamimba huathirika sana na vuta nikuvute ndani ya familia kuliko watoto wengine.

©️ Fomboy838

Highlight

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255748398026

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fomboy838 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share