19/05/2026
Happy 1st Birthday our daughter 🎂❤️
Umekuwa baraka kubwa ndani ya maisha yetu. Tunamshukuru Mungu kwa mwaka mmoja wa afya, furaha, na upendo. Tunakuombea ukue katika hekima, neema, na ulinzi wa Mungu siku zote.