Shaibu Liwowa

Shaibu Liwowa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shaibu Liwowa, Camera/Photo, Dar es Salaam.

Asiejuwa hakosei
10/12/2023

Asiejuwa hakosei

Ukimgundua anaechukia mafanikio Yako ww muweke karibu Yako Zaid alafu mpe Siri zako zile nyeti zile kubwa kubwa wallah u...
05/12/2023

Ukimgundua anaechukia mafanikio Yako ww muweke karibu Yako Zaid alafu mpe Siri zako zile nyeti zile kubwa kubwa wallah utamuuwa
kwa
pressure 🤣🤣 maana atajuwa

vitu vingi alafu vyote vinamuumiza na kumchoma kwenye moyo wake

Kiza hata kiwe kikali vipi mwisho wake ni saa 12 tuu asubuh kwahy tusikate tamaa 🙏🙏
20/11/2023

Kiza hata kiwe kikali vipi mwisho wake ni saa 12 tuu asubuh kwahy tusikate tamaa 🙏🙏

Angalia vizur hizo picha mbili za pembeni niambie umeona nn
14/10/2023

Angalia vizur hizo picha mbili za pembeni niambie umeona nn

Haina neno
13/10/2023

Haina neno

Wacha tusotee misoto
28/09/2023

Wacha tusotee misoto

Hicho ulichonacho hapo sahv  ndo chako Kilichopo mbali nawe sio chako Hadi kitakapokufikia au utapokifikia
10/09/2023

Hicho ulichonacho hapo sahv ndo chako
Kilichopo mbali nawe sio chako
Hadi kitakapokufikia au utapokifikia

Kuna wakati unatakiwa ww ndo uishi maisha yanavyotaka uki4si kuishi maisha unavyotaka ww wakati hauna hiyo power itakuga...
09/09/2023

Kuna wakati unatakiwa ww ndo uishi maisha yanavyotaka uki4si kuishi maisha unavyotaka ww wakati hauna hiyo power itakugarimu

Huwezi kumzuwia  nyoka njia kwa kutumia gogo  liziki yangu haipotei Hadi siku ya mwisho na nyingine watamalizia watakaok...
23/08/2023

Huwezi
kumzuwia
nyoka njia kwa
kutumia gogo

liziki yangu haipotei Hadi siku ya mwisho na nyingine watamalizia watakaokuja kunizika💪

Nyumbani ni nyumbani alisi ni k**a rangi ya ngozi haiwezi kupotea
17/08/2023

Nyumbani ni nyumbani alisi ni k**a rangi ya ngozi haiwezi kupotea

Mwanzo mzuri kwenye ligi This is Simba Simba SC Tanzania
13/08/2023

Mwanzo mzuri kwenye ligi
This is Simba Simba SC Tanzania

13/08/2023

Ali slimu 🤩

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shaibu Liwowa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category