WCB 4life

WCB 4life WCB 4life Diamond platnumz C.E.O.wasafi.tv.wasafi.fm.

Toa comment yakokwa mtotohuyu anaeishi na mama
13/04/2026

Toa comment yakokwa mtotohuyu anaeishi na mama

11/04/2026
Diamond platnumz  atangaza mafanikiosio uchawi fanyakazi kwabidii uku unamtanguliza mungu mbele
12/02/2025

Diamond platnumz atangaza mafanikiosio uchawi fanyakazi kwabidii uku unamtanguliza mungu mbele

Nyota Wa Muziki Duniani SIMBA 🦁  Anaendelea Kuonesha Ukubwa Wake Kupitia Kazi Yake Ya Muziki, Kwani Anatajwa K**a Msanii...
11/12/2024

Nyota Wa Muziki Duniani SIMBA 🦁 Anaendelea Kuonesha Ukubwa Wake Kupitia Kazi Yake Ya Muziki, Kwani Anatajwa K**a Msanii Namba 1 Aliyetazamwa Zaidi (Most Streamed) Katika Mtandao Wa Youtube Nchini Kenya Mwaka Huu 2024.

Hii Inaonesha Ni Wazi Kuwa Ndio Msanii Anayependwa Na Kufuatiliwa Zaidi Kwa Wakazi Wa Nchi Hiyo Kutokana Na Jitihada Zake Kwenye Muziki Anaoufanya Kila Siku.

Orodha Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Youtube Ya Kenya 2024

1: Diamond Platnumz 🦁
2: Harmonize 🐘
3: Rayvanny 🐆
4: Israel Mbonyi
5: Zuchu
6: Mbosso
7: Guardian Angel
8: Jaymelody
9: Msanii Music Group
10: Ayra Star
11: Alikiba
12: Otile Brown 🇰🇪

✍️: ()

 -4lifeHARMONIZE NI MZEE WA KULIPIZA-Siku za nyuma kidogo Malaika Cute amewahi kusema kuwa hawezi kabisa kutoka kimapenz...
08/12/2024

-4life

HARMONIZE NI MZEE WA KULIPIZA
-
Siku za nyuma kidogo Malaika Cute amewahi kusema kuwa hawezi kabisa kutoka kimapenzi na Harmonize akidai sio level yake ni k**a takataka mbele yake.

Harmonize amejaribu tuuu kutangaza kuwa yupo kwenye huba zito na Malaika Cute kwa makusudi tuu, Nazani Malaika Cute ameona ni nani taka taka kati yake na Harmonize maana sio kwa vichambo alivyokitana navyo...😂😂😂😂

WCB 4life Ofa ofa kwayeyote anaejijua yeye una kipaji chakuimba vizuri. like nitumie inbox  namba yako waisasa
23/11/2024

WCB 4life
Ofa ofa kwayeyote anaejijua yeye una kipaji chakuimba vizuri. like nitumie inbox namba yako waisasa

25/10/2024

❤❤❤❤

Address

Www. Wasafi. Com
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when WCB 4life posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to WCB 4life:

Share

Category