BIG OFFER

BIG OFFER We are here to support the society to get offers from different partners who wish to give services to the clients in cheap price.

We post & Shares some offers through this Page

21/03/2026

Choir - Manyara TZ
Out Soon!!!
Kwa huduma Bora ya Production
+255 656177779

24/07/2025

WA

- IHUMWA- DODOMA Chini ya Mchungaji Meshach Mwambugi wanakukaribisha kwenye mikutano mkubwa wa Injili Jijini Dodoma. Kuanzia tarehe
27 July - 03 AUG. 2025. Katika Viwanja vya Kanisa - IHUMWA. Karibu kwenye Mkutano upokee majibu na kufunguliwa vifungo.
Umeteseka vya kutosha, YESU anaweza.

Mahali ni IHUMWA- DODOMA.
Kanisa la ICM
Kwa mawasiliano piga simu +255712044462

05/06/2025
Waimbaji wa Nyimbo za Injili ManyaraHii Si ya Kukosa, ni yenu 100%
24/05/2025

Waimbaji wa Nyimbo za Injili Manyara
Hii Si ya Kukosa, ni yenu 100%

YA

Tukutane Basutu - Manyara kwenye Clinic ya siku tatu Tarehe 8 - 11 JUNE 2025
Kuna mengi ya Kujengana, ili kupiga hatua Bora zaidi.

you Manyara
- Manyara TZ

          NA   - JIJI LA  . Mtumishi wa Mungu   Mwambugi anawakaribisha nyote kwenye Kongamano kubwa la   na    litakalo...
11/04/2025

NA - JIJI LA .

Mtumishi wa Mungu Mwambugi anawakaribisha nyote kwenye Kongamano kubwa la na litakaloanza 13-20 April 2025. Karibu upokee UPONYAJI wa Kiroho na ufunguliwe vifungo vilivyo kutesa Kwa miaka Mingi. Watumishi wa Mungu waliojaa nguvu na Upako wa Bwana watahudumia Kundi la Bwana.

Mahali ni KANISA LA ICM - IHUMWA (Mkabala na Majengo ya Jeshi)

Kwa mawasiliano piga simu :0712044462
Nyote mnakaribishwa.

USIFANYE HUDUMA AU BIASHARA KIENYEJIZama hizi usifanye Biashara au huduma yako kienyeji. Biashara yoyote ni matangazo. J...
04/02/2025

USIFANYE HUDUMA AU BIASHARA KIENYEJI

Zama hizi usifanye Biashara au huduma yako kienyeji. Biashara yoyote ni matangazo. Jipatie tangazo Bora kabisa la Biashara yako Kwa Tshs. 5000/= Tu.
Chakufanya: Tuma picha ya bidhaa au huduma yako na maelezo Kwa namba +255 656 177779
Tutakutengenezea tangazo Bora kabisa na kukutumia Kwa wakati popote ulipo ndani na nje ya Nchi.

2025 kuwa Mjanja

Kutoka Jiji la Dar es salaam - Tanzania. Anatambulika Kwa jina la       Mwimbaji wa Nyimbo za Injili anayefanya vema    ...
27/01/2025

Kutoka Jiji la Dar es salaam - Tanzania.
Anatambulika Kwa jina la Mwimbaji wa Nyimbo za Injili anayefanya vema inayoitwa . Yenye Ujumbe wa kutia moyo Kwa wote walio kata tamaa ya maisha.
Kwa hudumu ya mialiko ya Mikutano ya Injili, Semina & Makonganao.
Mawasiliano +255 693 911 562

 Kampeni maalum kabisa ya kuinua huduma ya nyimbo za  Injili. Hii ni Kwa     wa nyimbo za Injili wenye nia ya kufikia ha...
07/01/2025


Kampeni maalum kabisa ya kuinua huduma ya nyimbo za Injili. Hii ni Kwa wa nyimbo za Injili wenye nia ya kufikia hatua ya kufanya Video na Wale wanaotafuta namna Kurekodi Nyimbo zao katika ubora na Kwa gharama nafuu. TUKUZA 2025 Itakuunganisha na Wataalam mbalimbali wanaofanya kazi Kwa weredi mkubwa.

Kwa maelezo zaidi piga simu
+255 656177779

07/01/2025

Kutoka MANYARA - Tanzania.
Anatambulika Kwa jina la . Mwimbaji wa Nyimbo za Injili anayefanya vema ujio wake wa Album mpya kabisa 2024 inayoitwa . Yenye nyimbo nyingi za kutia moyo Kwa wote walio kata tamaa ya maisha.
Kwa hudumu ya mialiko ya Mikutano ya Injili, Semina & Makonganao.
Mawasiliano +255 624 242 806

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255687720204

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BIG OFFER posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BIG OFFER:

Share