Anointing eye

Anointing eye We provide quality photography & videography service at affordable price contact us:

+255 659 97289

LENARD'S DAYFUTURE BOSS
31/12/2017

LENARD'S DAY
FUTURE BOSS

KANUNI 5 ZA KUWEZA KUFANIKIWA1.JIAMINI: Kabla ya kufanya kitu chochote kile, unatakiwa kujiamini kwa kila unachotaka kuk...
21/12/2017

KANUNI 5 ZA KUWEZA KUFANIKIWA

1.JIAMINI: Kabla ya kufanya kitu chochote kile, unatakiwa kujiamini kwa kila unachotaka kukifanya. Kuna mwingine anataka kuwa daktari, lakini kila anapojiangalia, anaona kwamba hawezi kuwa daktari. Ndugu yangu, hata hao madaktari unaowaona, walipanga kuwa madaktari, hivyo wakajiwekea malengo ya kufika hapo walipokuwa. Simama kwa miguu na ujiambie kwamba unaweza kuwa unavyotaka kuwa.

Kuna wengine wanatamani wawe waandishi wazuri wa hadithi. Rafiki yangu, huwezi kuwa mwandishi mzuri k**a hujiamini. Kuna mwingine anaandika hadithi nzuri lakini hataki watu wazione, na hata wakiziona, hataki kusikia maoni yao kwa kuwa hajiamini.

Unapopanga kuwa mtu fulani, usiogope maneno ya watu, watu hao wameumbwa ili wakufanye usonge mbele. Huwezi kusonga mbele pasipo maneno mabaya ya watu, mtu anapokwambia hauwezi kufanya kitu fulani, wewe fanya ili wajue kwamba unaweza kufanya.

Wengine watakuja na kukwambia kwamba huwezi kuwa daktari kwa kuwa katika ukoo wenu hakuna daktari hata mmoja, usivunjike moyo, mwambie k**a hakuna daktari katika ukoo wetu, acha mimi niwe daktari wa kwanza. Unachotakiwa ni kuanza kujiamini tu.

2.USIOGOPE KUSHINDWA: Wengi wamekuwa hawafanikiwa katika maisha yao kwa kuwa wanaogopa kushindwa. Unaweza kuamua kufanya jambo fulani lakini kuna sauti ndani ya moyo wako inakwambia kwamba hautofanikiwa.

Usitake kukubaliana na sauti hiyo, jiambie mwenyewe k**a unaweza. Kuna watu wanatoa mamilioni ya fedha kuanzisha biashara fulani na mwisho wa siku wanafeli, ila wanachokifanya si kuachana nayo, wanajipanga na kuanza upya kisha kufanikiwa.

Rafiki yangu, hautakiwi kuogopa kufeli. Huwezi kuweza kila siku, unaposoma, jua kwamba kuna kufeli, unapofanya biashara jua kwamba kuna kuishiwa. Usitake kuwa mfanyabiashara huku ukijiambia kwamba utafanikiwa sana, kumbuka kwamba kuna wakati mambo huenda kombo.

Wanafunzi wengi wanaojiua ni wale waliofeli na wakati walijipa uhakika kwamba wangefanya vizuri. Mwanafunzi anasoma, anaongoza kwenye kila mtihani shuleni, unapokuja mtihani wa taifa na kufeli, anajiua kwa sababu hakutegemea hilo.

Wewe k**a mwanafunzi, k**a mfanyabiashara, hautakiwi kuweka kila kitu positive (chanya) bali unatakiwa kukumbuka kwamba wakati mwingine kuna negative (hasi)
Kushindwa ni moja ya mchezo, unachotakiwa ni kutokuogopa kwa kile unachotaka kukifanya.

3.USIWASIKILIZE WENGINE: Hili limekuwa tatizo kubwa kwa watu wanaotafuta mafanikio. Wengi wamekuwa wakiwasikiliza watu wengine. Mtu anapanga kufanya kitu fulani, ila anapoambiwa na watu wengine kwamba hatoweza kufanya kwa kuwa wengi walishindwa, naye anaacha.

Ndugu yangu, hatuwezi kufanikiwa kwa kuwasiliza watu wengine. Mtu anakuja na kukwambia kwamba huwezi kuwa bilionea kwa kuwa mtaa wenu haujawahi kutoa bilionea, unatakiwa kuwaambia kwamba k**a hakukuwahi kutoa bilionea, basi mimi nitakuwa wa kwanza.

Unapoamua kufanya kitu, hautakiwi kusikiliza maneno ya watu, wewe fanya, hata k**a wengi watakuja na kusimama kinyume chako, usivunjike moyo, endelea kufanya kile ulichojiwekea moyoni mwako. Maneno ya watu yapo kwa kuwa ndiyo yatakayokufanya kusonga mbele.

Katika hili, nakumbuka hata mimi ilikwishawahi kunitokea, nilipoanza kuandika hadithi, kuna mengi yalizungumzwa kwamba siwezi, nawachosha watu kusoma hadithi zangu. K**a ningekuwa mtu wa kukata tamaa, ningeacha, lakini sikufanya hivyo, niliendelea kusonga mbele na mwisho wa siku kuyaona matunda yake. Usiwasikilize watu wengine wenye maneno ya kukatisha tamaa.

4.USIKATE TAMAA: Katika kutafuta mafanikio kuna mengi yanaweza kutokea. Kuna vitu vingine vinaweza kukukatisha tamaa na kujiona unashindwa kusonga mbele, hautakiwi kusimama, hautakiwi kuishia hapo bali unatakiwa kupandisha soksi na kusonga mbele zaidi.

Hauwezi kupata mafanikio k**a utakuwa mtu wa kukata tamaa, kila bilionea unayemuona alipitia hatua hii, kuna kipindi walikosa fedha, walivunjwa moyo lakini waliendelea zaidi mpaka kufanikiwa wa kuamini kwamba hakuna mafanikio pasipo kuumia.

Kwa siku kuna masaa 24, wanalala kwa masaa 6 na kufanya kazi kwa masaa 18 lakini wewe unalala kwa masaa 8 mpaka 9. Ndugu yangu, kumbuka kwamba huwezi kupanda ngazi huku mikono ikiwa mfukoni.

5.RUDISHA KWA JAMII: Hiki ndicho kitu muhimu kuliko vyote. Tunaishi katika maisha ya kimasikini sana, tunawaona watu wanaoteseka pamoja nasi, tunawaona watu wanaokosa chakula, fedha za matibabu.

Maisha ya kimasikini yametuzunguka kila kona. Rafiki yangu, tunapofanikiwa, tuwakumbuke wale tuliowaacha kule tulipotoka, kuna watoto yatima wanahitaji msaada, kuna wajane wanahitaji vitu kutoka kwetu, kuna wagonjwa na watu mbalimbali wenye matatizo. Tunapofanikiwa, tukumbuke kwamba tunatakiwa kurudisha asilimia kadhaa kwa jamii kwa kile tulichokipata.

Hatuwezi kufilisika kwa kutoa, toka nilipozaliwa mpaka leo hii, sijawahi kusikia mtu fulani amefilisika kwa sababu alisaidia sana watu wenye matatizo. Tunapoamua kutoa, amini kwamba Mungu atakupa maradufu
photo by samson kalemba Anointing eye

Client: ARAFAall photos by ANOINTING EYE STUDIOScc: Anyalov Steven Mtetemela
02/12/2017

Client: ARAFA
all photos by ANOINTING EYE STUDIOS
cc: Anyalov Steven Mtetemela

 **ata episode ya tatu (3) mada; TAMBUA NAFASI YA MWANAMKE KATIKA JAMIImuongozaji; Sammy Mmbagaunajua mwanamke unavyomue...
24/11/2017

**ata episode ya tatu (3)
mada; TAMBUA NAFASI YA MWANAMKE KATIKA JAMII
muongozaji; Sammy Mmbaga
unajua mwanamke unavyomueka ndio atakavyokua hapo bada na ukimpa moja siku zote hurudisha zaidi ya moja

Itambue nafasi ya mwanamke katika jamii.

https://youtu.be/QrUe2gob5Lg
22/11/2017

https://youtu.be/QrUe2gob5Lg

WAKATI - faida za kutumia wakati vizur na hasara za kutumia wakati vibaya. presented by SAMMY MMBAGA (doctor love) operators; RAMADHANI CHECHE, JUMA JUMA, DI...

watch umenik**ata from AETV with Sammy Mmbaga
21/11/2017

watch umenik**ata from AETV with Sammy Mmbaga

Tambua thamani yako .

"HE HAS TO  BE A BOY     Trust me " sister Arafa said that
04/11/2017

"HE HAS TO BE A BOY Trust me " sister Arafa said that

We will always keep your memory because it is  a lovely work for us                                           &
04/11/2017

We will always keep your memory because it is a lovely work for us &

aetv session; THE DANCEIt give time to the dancing crews for free to show what they have and the videos will be shared.N...
03/11/2017

aetv session; THE DANCE
It give time to the dancing crews for free to show what they have and the videos will be shared.

NOW what THE SHINNERS CREW did
song; MALAIKA COVER
artist; HERI MUZIKI
orignal version; NYASHINSKI
crew; THE SHINNERS CREW
ANOINTING EYE TELEVISION 2017
together we can

''please share and give your opinions"
special thatnks to;
Ndela Decoration
Tz Work Jaja


MALAIKA - NYASHISKI (orginal version) MALAIKA COVER - HERI MUZIKI (cover version) THE DANCE - THE SHINERS CREW DIRECTOR - ME. ANOINTING EYE STUDIOS

20/10/2017

Scout wa Nyumbu secondary wajibu mapigo ya jeshi kuonyesha ukomando wao kupata full video link.Kwenye bio ya
usisahau kusubscribe AETV

Friends caring is one of her character
10/10/2017

Friends caring is one of her character

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Anointing eye posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Anointing eye:

Share