24/02/2025
Baada ya Kazi zako mchana kutwa Sasa
Usafiri wa usiku unakungojea...
saa mbili kamili usiku(20:00) kutokea Nairobi Kenya
Saa tano kamili (23:00) usiku kutokea namanga
Saa saba kamili usiku(01:00) kutokea arusha
Saa nane na nusu usiku(02:30) kutokea moshi
Wote kwa pamoja tukielekea Dar es salaam.
Vilevile kutokea Dar es salaam ni saa mbili usiku
Moshi ni saa kumi na nusu alfajiri
Arusha ni saa kumi na mbili kamili asubuhi
Namanga ni saa moja na nusu asubuhi tukielekea nairobi.
KWA ABIRIA WOTE WANAOVUKA MPAKA(BORDER) NI LAZIMA UWE NA
[1]. PASSPORT(temporary/Permanent)
[2].KADI YA HOMA YA MANJANO(Yellow fever).
Tembelea tovuti(Website) yetu www.kidiaoneexpress.com kupata tiketi yako au piga simu namba
+254720901997 NAIROBI
+255757575786 ARUSHA
+255757575740 DAR ES SALAAM.