Revelation Church of the Holy Spirit Shilo

Revelation Church of the Holy Spirit Shilo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Revelation Church of the Holy Spirit Shilo, Photographer, Ngoingwa, Nairobi.

SOMA 😭😭🙏Tajiri mmoja alichungulia dirishani kwake na kumwona mtu akiokota kitu kwenye p**a lake.Alisema, "Asante MUNGU m...
22/02/2024

SOMA 😭😭🙏

Tajiri mmoja alichungulia dirishani kwake na kumwona mtu akiokota kitu kwenye p**a lake.

Alisema, "Asante MUNGU mimi sio maskini."

Maskini alitazama huku na kule na kumwona mtu aliye uchi akifanya utovu wa nidhamu mtaani.

Alisema, "Asante MUNGU sina wazimu."

Yule kichaa alitazama mbele akaona gari la wagonjwa likiwa limembeba mgonjwa.

Alisema, "Asante MUNGU mimi sio mgonjwa."

Kisha mtu mgonjwa hospitalini akaona toroli ikipeleka maiti kwenye chumba cha kuhifadhia maiti.

Alisema, "Asante MUNGU mimi sijafa."

Ni mtu aliyekufa tu ambaye hawezi kumshukuru Mungu (Zaburi 115:17).

Kwanini usimshukuru MUNGU leo kwa kukupa nafasi ya kuishi siku nyingine
church of the Hory spirit ,Ngoigwa

21/02/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Donco Adi Teacher, Mary Boboh

Juja Ma'Store New Church Branch OpeningPastor Simon
18/02/2024

Juja Ma'Store New Church Branch Opening
Pastor Simon

06/02/2024

Huwa wanatubeza, tukiwa tunajenga safina ila safina ikikamilika wanalia, wanasema tumewafungia Milango ya safina, tatizo mlango wa safina hatufungagi sisi inatokeaga tu hatujui mlango wa kukupa nafasi Ndani ya safina hii hii uliyotubeza wakati tunaijenga.

Watatubeza sana wakati tunajenga hii safina, maana hawajasikia tulichosikia, na gharika iliyoko Mbele hawaijui na nikwasababu kwasasa wanahisi wamepata kila kitu, hawajui gharika iko Mbele so ni Sawa wakibeza Ila dear NUHU usiache kujijengea safina yako iko siku wataomba uwafungulie mlango, na tatizo la mlango Nuhu alisema “sikufunga Mimi”. Kamwe Mungu hawezi kukuruhusu kuingia Ndani ya safina ambayo hukushiriki kuijenga. Mungu hawezi kukuruhusu kuingia kwenye FUTURE ambayo HUKUIJENGA.

‭‭Ezr‬ ‭6:14‬ ‭SUV‬‬[14] Nao wazee wa Wayahudi wakajenga, wakafanikiwa, kwa msaada wa kuhubiri kwao Hagai nabii, na Zeka...
26/01/2024

‭‭Ezr‬ ‭6:14‬ ‭SUV‬‬
[14] Nao wazee wa Wayahudi wakajenga, wakafanikiwa, kwa msaada wa kuhubiri kwao Hagai nabii, na Zekaria mwana wa Ido. Wakajenga, wakaimaliza kazi yao, kwa maagizo ya Mungu wa Israeli, na kwa amri ya Koreshi, na Dario, na Artashasta mfalme wa Uajemi.

Wakajenga na wakafanikiwa kwa msaada wa kuhubiri kwa watumishi wa kizazi chao, it matters alot ni mahubiri yapi unayoyasikiloza… mahubiri hnayoyasikiliza yana nafasi ya kukufanya ujenge na ufanikiwe au ubomoe na ufeli maisha.

24/12/2023

I SAW THIS TODAY
Proverb 11:16
A gracious woman retaineth HONOR : and STRONG MEN retain riches.

My Brother Wealth and Riches don’t come to you because you want it, the Bible is Clear as For us men it is THE STRONG MEN that Retains Riches, unaweza kutafuta na kupata but kutunza Mali ni STRENGTH and STRICTNESS 💪 as for my sisters all you need to be is GRACIOUS!!!! Bro we don’t need to be HONORED we need Wealth/Riches(you know why Utajiri na Heshima vimekaa Mkono mmoja, Mithali 3:16) HONOR is for WOMEN so they need to be GRACIOUS!!!

Bro BE STRONG life is not for those who want it or need it so bad but it’s for the STRONG!!! Epuka kutoa visingizio na kuona wanaofanikiwa ni kwasababu wananjia za panya/ sio wote Bro, kunawatu kwenye uso wa nchi wana Kaza, just add more STRENGTH in your HUSTLE it will pay off, Hata hao wanaotumia njia za mikato as you think na wenyewe hawalali wana kaza na kufikiri usiku kucha, Epuka kuwaaaminisha watoto wako kuwa kila aliyefanikiwa alitumia njia ya mkato na wewe hujafanikiwa kwasababu umenyooka.
Biblia inasema “WAKATI na BAHATI huwapata wote pamoja” ulitumiaje wakati wako na BAHATI zako.
Tujipange 2024 tuepuke kuongea sana Tufanye sana.!!!
#

15/12/2023

Zaburi‬ ‭92‬:‭1‬-‭6‬ ‭SUV‬‬
Ni neno jema kumshukuru BWANA, Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu. Kuzitangaza rehema zako asubuhi, Na uaminifu wako wakati wa usiku. Kwa chombo chenye nyuzi kumi, Na kwa kinanda, Na kwa mlio wa kinubi. Kwa kuwa umenifurahisha, BWANA, Kwa kazi yako; nitashangilia Kwa ajili ya matendo ya mikono yako. Ee BWANA, jinsi yalivyo makuu matendo yako! Mawazo yako ni mafumbo makubwa. Mtu mjinga hayatambui hayo, Wala mpumbavu hayafahamu.”

26/11/2023

One thing that I KNOW for sure today is; GOD will be INDUCING LABOR into the SPIRITUAL WOMB that hold your miracle for sooo long. Every vision that you have God will PROVIDE a technical know how to achieve that!!!
May u reserve in Jesus name 🙏🙏
#
ReRevelation Church of the Holy Spirit Shilo

07/11/2023

“Lakini imo roho ndani ya mwanadamu, Na pumzi za Mwenyezi huwapa akili. Sio wakuu walio wenye akili, Wala sio wazee watambuao hukumu.”
‭‭Ayu‬bu ‭32‬:‭8‬-‭9‬ ‭SUV‬‬

Katika kila fumbo lililoko mbele yako wiki hii ninakuombea MUNGU akupe akili na akupulizie Pumzi yake ukaione akili katika mambo yako yote na kutoa majibu katika mafumbo yako yote.

“Akaniagiza, akaongea nami, akasema, Ee Danieli, nimetokea sasa, ili nikupe akili upate kufahamu.”
‭‭Dan‬iel 9‬:‭22‬ ‭SUV‬‬

Mungu na akupelekee Malika wake akupe akili katika kila swali la muda mrefu kwenye maisha yako. Kila uchawi unaoufunika akili za watu zisifunike akili zako kamwe. Kila uchawi unaozuia watu kuona sawa sawa kwenye fahamu zao usikupate wewe, Mungu akupe akili na kuona.

05/11/2023

Mwanzo 4:7
“K**a ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.”

Mungu akujalie ufunuo wa nini utende kitakacholeta Kibali kwako na kwenye kazi zako.

Mungu akupe kuinuka pamoja naye na akiinua Mungu adui zake wanatawanyika Sawa Sawa na Zaburi ya 68…
“Mungu huondoka, adui zake wakatawanyika, Nao wamchukiao huukimbia uso wake. K**a moshi upeperushwavyo, Ndivyo uwapeperushavyo wao; K**a nta iyeyukavyo mbele ya moto, Ndivyo waovu wapoteavyo usoni pa Mungu.”

04/11/2023

Uchawi ukiharibiwa kwenye mji, mji unajawa na FURAHA. I pray in the Name of Jesus kila alama ya kichawi waliyokuwekea wachawi ili waupate mlango wa kuingia kwako na kukuletea madhara, alama hiyo ikaharibiwe kwa jina la YESU.

No witchcraft shall reign in your family again in Jesus Name. Kila ishara ya kichawi inaharibiwa leo kwenye biashara yako , kwenye familia yako in Jesus Name . K**a Nyoka wa Mafarao walivyo mezwa na nyoka wa Musa kwa jina la Yesu kila nyoka wa kichawi, paka wa kichawi viumbe vya kichwi vikamezwe na Neno la Mungu kwa jina la Yesu😇

03/11/2023

leo kuna kesha Revaluation church at Ngoingwa u are welcome all of u

Address

Ngoingwa
Nairobi

Telephone

+254708499929

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Revelation Church of the Holy Spirit Shilo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category