Kamali Writers

Kamali Writers Digital media platform for content creation, blogs, trending news & online marketing
(1)

Mzee wa Boma uongea maneno yenye busara k**a haya ya kalonzo Musyoka si matusi kila pahali ama kujigamba.
05/09/2026

Mzee wa Boma uongea maneno yenye busara k**a haya ya kalonzo Musyoka si matusi kila pahali ama kujigamba.

05/09/2026

I'm not dead, Najib Balala, despite social media rumours claiming he is.

Yellow colour is associated na umaskini
05/09/2026

Yellow colour is associated na umaskini

Kwa saa hii ni Breaking news gani yenye furaha inaweza unganisha wakenya pamoja. Kwa saa hii ni Breaking news gani yenye...
05/09/2026

Kwa saa hii ni Breaking news gani yenye furaha inaweza unganisha wakenya pamoja. Kwa saa hii ni Breaking news gani yenye furaha inaweza unganisha wakenya pamoja.

Kwa nini miradi mingi ya ukambani uanza wakati kiongozi mkamba yuko katika wizari na wakati tu ametoka kwa hio ofisi bas...
05/09/2026

Kwa nini miradi mingi ya ukambani uanza wakati kiongozi mkamba yuko katika wizari na wakati tu ametoka kwa hio ofisi basi huo mradi unasimama. Hii ni KMTC tawi la Tseikuru imeanza kuwa msitu, Thwake dam na Mwingi Tseikuru Road zilisimama tu wakati Kalonzo Musyoka alitoka mkamo wa rais.

Kati ya Rigathi Gachagua na Ndindi Nyoro, nani tishio kwa mwingine although wote wanasema wantam.
05/09/2026

Kati ya Rigathi Gachagua na Ndindi Nyoro, nani tishio kwa mwingine although wote wanasema wantam.

05/09/2026

K**A ILIKUPITA

Huyu ni Dorcas Rigathi anamnyoa bwanake, that's not the issue is hawa ni watu na pesa zao lakini ametenga muda wake na bwanake pia anamnyoa, wengine na pesa dogo tu ya kununua chips madharau kwa bwanake hataki ata kumtuliza bwanake.

Hii ni dhairi kwamba Rais William Ruto itabidi ajipange kwa maana hapa ODM imeenda na Rigathi Gachagua.
05/09/2026

Hii ni dhairi kwamba Rais William Ruto itabidi ajipange kwa maana hapa ODM imeenda na Rigathi Gachagua.

Repost:Hii inaweza tokea
04/09/2026

Repost:
Hii inaweza tokea

Fununu zinasema kwamba Rais Ruto apanua kikosi chake Ukambani kumkabili kalonzo Musyoka lakini na wakamba hawana mpango wa kukabiliana na jambo hilo kwa haraka lakini watashtuka maficho yao yote imeingiliwa na adui na kisha Wiper kumalizwa na adui Kamali Writers

Rigathi Gachagua kiongozi ambaye alichangia kushinda kwa serikali ya kenya kwanza ambayo wakenya wengi walikuwa wameweka...
04/09/2026

Rigathi Gachagua kiongozi ambaye alichangia kushinda kwa serikali ya kenya kwanza ambayo wakenya wengi walikuwa wameweka matumaini na matarajio mengi, lakini ikawa serikali ya kusema bila kutenda na pia kumtimua Rigathi Gachagua ambapo ameapa pia na yeye kuipeleka nyumba 2027 je Rigathi Gachagua ataweza? Wakenya pia watashindwa kupeleka kenya kwanza nyumbani? Ni nini maoni yako.

Address

Likoni-lunga Lunga/Road
Mombasa
80110

Telephone

+254714434437

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kamali Writers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share