𝐀𝐋-πˆπŒπ€π

Call Directions Website Contact the business

𝐀𝐋-πˆπŒπ€π Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from 𝐀𝐋-πˆπŒπ€π, Photographer, DARUL IMAAN ISLAMIYYAH, Isiolo.

πŸ”ΈMakala za Kijamii
πŸ”Ήvisa & history &
πŸ”ΈSimulizi za kufunza &kugusa Nyoyo
πŸ”ΉLengo nikuelimisha & Jamii Nzima
πŸ”ΈTunasimulia ili ujifunze uelimike
fb.com/stars

SubhanAllah! Nyumba ya Mwenyezi Mungu yenye muonekano wa kupendeza na utulivu wa hali ya juu. πŸ•Œβœ¨β€‹Je, unaweza kutambua au...
23/10/2026

SubhanAllah! Nyumba ya Mwenyezi Mungu yenye muonekano wa kupendeza na utulivu wa hali ya juu. πŸ•Œβœ¨

​Je, unaweza kutambua au kukisia msikiti huu mzuri unapatikana sehemu gani/mji gani? ✍️

​Andika MashaAllah k**a umependezwa na muonekano huu mzuri! πŸ‘‡

​ "

22/10/2026

Surat An-Nas (Sura ya 114):
Inalinda dhidi ya wasiwasi na shari za mashetani (katika majini na wanadamu) wanaotia wasiwasi kwenye vifua vya watu.

22/10/2026

Mtume (S.A.W) alisema: "Mwenye kusoma aya mbili za mwisho za Surat Al-Baqarah usiku, zitamtosha (zitamlinda na kila shari)."

congratulationsπŸ‘πŸ₯³πŸŽ‰
21/10/2026

congratulationsπŸ‘πŸ₯³πŸŽ‰

congratulationsπŸ‘πŸŽ‰πŸ₯³
21/10/2026

congratulationsπŸ‘πŸŽ‰πŸ₯³

Happy mashujaa day  you are my heroe may you live long β™₯️β™₯️β™₯️β™₯οΈπŸŒΉπŸŒΉπŸŒΉπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
20/10/2026

Happy mashujaa day you are my heroe may you live long β™₯️β™₯️β™₯️β™₯οΈπŸŒΉπŸŒΉπŸŒΉπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Happy mashuday to the best teacher
20/10/2026

Happy mashuday to the best teacher

20/10/2026
πŸŒ… *NURU YA ASUBUHI* > _"Alhamdulillahilladhi ahyana ba'da ma amatana wa ilaihin-nushur."_✨ *USIA WA LEO:*Anza asubuhi kw...
17/10/2026

πŸŒ… *NURU YA ASUBUHI*

> _"Alhamdulillahilladhi ahyana ba'da ma amatana wa ilaihin-nushur."_

✨ *USIA WA LEO:*
Anza asubuhi kwa kuwasamehe wote waliokukosea. Moyo usio na kinyongo hupokea nuru na amani ya ajabu kutoka kwa Allah.

πŸ“– *MAWAIDHA:*
*"Sameheni na muachilie; hivi hampendi Allah akusameheni?"* (Qur'an 24:22)

🀲 *DUA YA LEO:*
_Allahumma innaka 'afuwwun tuhibbul-'afwa fa'fu 'anni._
*(Ewe Allah, hakika Wewe ni Mwenye kusamehe, Unapenda kusamehe, basi nisamehe mimi.)*

Nawatakia Siku Njema! 🌿

Address

DARUL IMAAN ISLAMIYYAH
Isiolo
11

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 𝐀𝐋-πˆπŒπ€π posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to 𝐀𝐋-πˆπŒπ€π:

Shortcuts

Share

Category