12/05/2022
Msani chipukizi kutokeya Marecani ambae kazizake atazianzisha rasmi Tarehe 20.08.2022
Jijini UVIRA Anakwambiya yakwamba muwe tayari kupokeya mziki mzuri, inasemekanayakwamba EP yake itaitwa UVA IN THE WORLD naifahamike yakwamba msanihuyu aja post wimbo wowote kwenye Digital platform yoyote. ila uki Search jina la
DJ SKILLS utaiyona channel iyo ivyo basi usisahau ku SUBSCRIBE iliuwe wakwanza kupokeya mziki mzuri kutoka kwenye EP YA UVA IN THE WORLD.