12/02/2026
Ulishawahi Kujiuliza,
Kwanini Ulifanya Kitu Mpaka Ukajiuliza,
Inawezekanaje Ni Mimi Niliyewaza Na Kufanya Hiki Kitu?
Umepata Majibu?
K**a Hujapata Jibu ,
Nakusaidia...
Chochote Unachokiingiza Akilini Mwako,
Kwamaana Ya Taarifa Yoyote Ile.
Baada Ya Kuchakatwa Kwa Njia Ya Mawazo,
Itatengeneza Hisia,
(Hisia Zinaweza Kuwa Nzuri Au Mbaya).
Baada Ya Hapo,
Hisia Zitatengeneza Reaction.
(Reaction Inaweza Kuwa Nzuri Ama Mbaya).
Sasa Basi...
Link ya WhatsApp Channel Ipo kwenye Bio:
Karibu sana Tujifunze kwa Pamoja.