Pastor Kamgisha

Pastor Kamgisha °Heavenly Man
°In Christ I Stand°
°Daughter of King of King°
Pastor: TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD

Karibu katika Ibada Maalum ya Kuanza Mwezi wa Nane Itakayofanyika Jumapili hii jioni saa 10:00-12:00 !Tunakualika kwa mo...
01/08/2026

Karibu katika Ibada Maalum ya Kuanza Mwezi wa Nane Itakayofanyika Jumapili hii jioni saa 10:00-12:00 !

Tunakualika kwa moyo wote kuungana nasi katika ibada ya maombi, sifa, kuabudu na Neno la Mungu tunapoanza mwezi wa nane chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu.

Katika ibada hii tutamwomba Mungu avunje kila nguvu ya roho ya kukataliwa, aondoe vizuizi vya kiroho, afungue milango ya neema, kibali na mafanikio, na kutuanzishia msimu mpya wa ushindi.

Njoo ukiwa na imani, maana Mungu anaweza kubadilisha historia yako kwa neno moja. Mwezi huu hautakuwa k**a miezi iliyopita—utakuwa mwezi wa kibali, urejesho na ushindi katika jina la Yesu.

Ungana nasi Live Kupitia Youtube , Facebook na Tiktok

Karibu sana! Mungu akubariki.

Mungu ana mpango kwa ajili yako, na ni wakati wa kutambua kwamba wewe si mtazamaji bali ni shujaa wa mstari wa mbele kat...
22/07/2026

Mungu ana mpango kwa ajili yako, na ni wakati wa kutambua kwamba wewe si mtazamaji bali ni shujaa wa mstari wa mbele katika makusudi ya Mungu, Usiogope kwa sababu ya kunusurika kuanguka, bali tambua huo ni uthibitisho kwamba kile unachobeba ni cha thamani ndiomaana kinapigwa vita......

Upinzani si ishara kwamba umekataliwa; ni uthibitisho kwamba kile unachobeba kinatishia nguvu za giza. Simama katika uwanja wa vita (Ibada halisi) Ili uushinde kila mpango wa shetani juu yako:

Imani yako lazima uipiganie!
Familia yako lazima uupiganie!
Wito wako unapaswa kupigwania
Uchumi wako lazima uupiganie!
Kazi, uzao, nk lazima uupiganie!

Ungana nasi sasa Youtube Tuabudu pamoja....

https://www.youtube.com/live/jdBjzmzSX1I?si=vbfP1reF2LNVHNdM

Ninakuombea Leo! Mungu Akuinue na Kukupandisha mpaka mahali ambapo wanadamu Walifikiri Hapakustahili...........Ninatangf...
21/07/2026

Ninakuombea Leo!
Mungu Akuinue na Kukupandisha mpaka mahali ambapo wanadamu Walifikiri Hapakustahili...........

Ninatangfaza kwa Jina la Yesu; Kila mtenda uovu aliyeinuliwa kukuhalibia maisha, Hatofanikiwa kutenda mabaya hayo kwako tangu sasa na kuendelea......

Simama katika imani na endelea kuamini!
Mungu anasimama kila mahali uliposhindwa!

🙏Gusa link hii sasa Kujiunga nasi Youtube
www.youtube.com/Sergiy Smolyar-kamgisha

https://youtu.be/IZeUuJaPijI?si=SAD60811U02oI0Q3Ungana nasi katika Ibada ya  Maombi ya Mamlaka ili kuvunja kila agano la...
07/07/2026

https://youtu.be/IZeUuJaPijI?si=SAD60811U02oI0Q3

Ungana nasi katika Ibada ya Maombi ya Mamlaka ili kuvunja kila agano la uharibifu na kazi zote za adui zinazopingana na Kusudi la Mungu Katika Maisha yako!!

Ungana nasi sasa........

Maombi ya Kuvunja Kila Agano la GizaJe, unahisi kuna mzunguko wa ...

27/06/2026

IBADA YA MAOMBI YA KUANZA AWAMU YA PILI YA MWAKA 2026

Tunapoingia miezi ya pili ya mwaka, hatutegemei nguvu zetu bali tunaanza kwa maombi, imani na uwepo wa Mungu.

Karibu tuombe pamoja kwa ajili ya:
✨ Mafanikio katika kila jambo
✨ Kibali na milango mipya
✨ Faida na ongezeko
✨ Hekima ya kufanya maamuzi
✨ Baraka juu ya kazi, huduma na familia

Huu ni wakati wa kuweka miezi ijayo mikononi mwa Mungu na kuamini matokeo makubwa mbele yetu.

🙏 Omba • Amini • Tenda • Uone Matokeo
Usikose kujiunga nasi! Jumapili hii pamoja na Jumanne Usiku..

Youtube: www.youtube.com/-kamgisha

Address

Mtwara
96

Telephone

+255625970301

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Kamgisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Pastor Kamgisha:

Shortcuts

Share