Wajumbe Tv

Wajumbe Tv Tunatangaza biashara.habari za kisiasa ,kijamii ,kiuchumi na michezo

Mkurugenzi wa wajumbe studio.wajumbe Tv Una kipi cha kunena juu ya utoaji habari wa wajumbe Tv ?Toa maoni yako
30/06/2026

Mkurugenzi wa wajumbe studio.wajumbe Tv

Una kipi cha kunena juu ya utoaji habari wa wajumbe Tv ?
Toa maoni yako

TANZIA : AJALI YA PIKIPIKIvijana wawili wakazi wa kijiji cha nsalala Mbalizi Mbeya Waliokuwa wakifanya kazi ya usafirish...
05/04/2026

TANZIA : AJALI YA PIKIPIKI
vijana wawili wakazi wa kijiji cha nsalala Mbalizi Mbeya
Waliokuwa wakifanya kazi ya usafirishaji (bodaboda)
Wamefariki kwa ajali ya pikipiki iliyogongwa kwa nyuma na gari aina ya Fusso iliyobeba viazi April 4 usiku maeneo ya sheli ya manyanya mbalizi Mbeya

Mazishi : JOSHUA anazikwa leo majila ya saa nane nyumban kwao nsalala
JERAD Anazikwa kesho nsalala Mbalizi Mbeya

Ratiba ya mazishi ya MARY CHENZA
23/03/2026

Ratiba ya mazishi ya MARY CHENZA

Kwa mujibu wa kaka wa familia ya FRED CHENZA
21/03/2026

Kwa mujibu wa kaka wa familia ya FRED CHENZA

TANZIA: Mary Chenza mzaliwa wa mji mdogo wa mbalizi mtoto wa mzee chenza Aliekuwa anaishi mlimareli mbalizi Mbeya Amefar...
21/03/2026

TANZIA: Mary Chenza mzaliwa wa mji mdogo wa mbalizi mtoto wa mzee chenza
Aliekuwa anaishi mlimareli mbalizi Mbeya
Amefariki siku ya jana tarehe 20.3.2026
Katika hospitali ya mkoa wa Mbeya
Chanzo cha kifo chake kimetajwa kuwa ni kuugua kwa mda mrefu kifua (kwa mujibu wa ndugu zake na rafiki zake)
Maziko huenda yakawa siku ya Jumatatu tarehe 23.3.2026 ingawa bado taarifa rasmi haijatolewa
Taratibu zote za mazishi zinafanyika nyumbani kwao mlimareli mbalizi Mbeya

Mkurugenzi wa Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi nchini Marekani Joe Kent, amejiuzulu wadhifa wake kutokana na vi...
17/03/2026

Mkurugenzi wa Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi nchini Marekani Joe Kent, amejiuzulu wadhifa wake kutokana na vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran. Amesema “ni wazi kwamba tulianzisha vita hivi kutokana na shinikizo kutoka kwa Israel na ushawishi wake wenye nguvu kwa Marekani.”

Kent amesema imekuwa "heshima" kuhudumu chini ya Rais wa Marekani Donald Trump na Mkurugenzi wa Ofisi ya Ujasusi Tulsi Gabbard. "Naomba kwamba mtafakari tunachokifanya nchini Iran, na tunakifanya kwa ajili ya nani," Kent alisema katika barua yake ya kujiuzulu kwa Trump. "Mnaweza kubadilisha mwelekeo na kutengeneza njia mpya kwa taifa letu, au mnaweza kuturuhusu kuteleza zaidi kuelekea kuporomoka na machafuko. Mmezishikilia karata."

17/03/2026
“Hilo suala lipo serious sana sio la kawaida tazama tumeenda mle ndani kuwasikiliza wanasema Wanajeshi wataendelea kufa ...
04/03/2026

“Hilo suala lipo serious sana sio la kawaida tazama tumeenda mle ndani kuwasikiliza wanasema Wanajeshi wataendelea kufa wengi kwasababu Iran anarusha drones ambazo hatuwezi kuzizuia maana yake hapo tutafeli tukiendelea na Wamarekani watakufa sana huko, tukubaliane tusijadili kingine zaidi ya hili la vita na Iran tupate picha kamili”

- Seneta Chris Murphy wa Marekani akizungumza baada ya Senate kupewa briefing

Video kwenye comment

03/02/2026

Ofa kwa kwaya na waimbaji kutoka wajumbe studio

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wajumbe Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share