Re Studio Tz

Re Studio Tz Studio Tz – Memories in Motion
� Picha | � Video Shoot
� 0752237878 / 0628496193 / 0714324311

19/04/2026

“Leo tarehe 20/04 ni siku ya kipekee sana kwangu, siku ambayo Mungu alinijalia zawadi ya uhai. Ninamshukuru kwa neema yake isiyo na kikomo mpaka leo. 🙏
K**a ilivyoandikwa katika Zaburi 118:24 — ‘Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana; tutashangilia na kufurahi ndani yake.’ Leo nachagua kufurahi na kumtukuza Mungu kwa kila hatua ya maisha yangu.
Ninaingia mwaka mpya nikiwa na imani kubwa, nikikumbuka ahadi yake katika Yeremia 29:11 — ‘Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi… ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.’
Naomba baraka zake ziendelee kunifunika, k**a ilivyoandikwa katika Zaburi 23:1 — ‘Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.’
Mwaka huu mpya wa maisha yangu uwe wa mafanikio, afya njema, na ushindi katika kila ninachofanya.
Happy Birthday to me 🎉🔥 Neema juu ya neema, ushindi juu ya ushindi!”

31/03/2026

time agoo.

Happy birthday my uncle Kaminzula Boy.
31/03/2026

Happy birthday my uncle Kaminzula Boy.

Karibu kutazama mahafali ya kidato cha nne Iyunga technical secondary school 2010 part1.
23/02/2026

Karibu kutazama mahafali ya kidato cha nne Iyunga technical secondary school 2010 part1.

🎓 Mahafali ya Kidato cha Nne – 2010 🎉Shule ya Sekondari Iyunga📅 23/09/2010📍 Viwanja vya Iyunga SekondariKumbukumbu tamu zisizofutika… siku ya furaha, maf...

01/02/2026
19/01/2026

uvinza

Address

Kigoma Mjini, Kazuramimba, Uvinza Na Kasuli
Kigoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Re Studio Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share