03/08/2025
Kanisa lenye sifa zifuatazo, WASHIRIKA wake huwa hawahami hami wala kupelekeshwa na upepo wa manabii wa uongo:-
1. Wana maombi na ratiba zao za maombi as church ni za kibabe, (Hapo mshirika hawezi sio tu kuhama bali hata hamu ya kuhama wanakosa)
2. Kanisaenye Chembe hai (namaanisha kanisa ambalo huwa wanaonana jumuiya, yaani makanisa ya ntumbani, we call HOME CELL)
3. Kanisa ambalo wanaafundisha zaidi kuliko kuhubiri kamstari kamoja na kuwasisimua watu zaidi kuliko kuwaelewesha, (hapa walimu wenzangu wa Neno la Mungu watanielewa zaidi,mara nyingi nikiwa nimealikwa kufundisha Neno kwenye kanisa ambalo mchungaji wake yuko faya kwenye kuwasisimua kwa mahubiri na bila kufundisha, huwa napata taabu sana kufundisha hilo kanisa maana wanakusubilia uanze kupasuka hewani na majasho lakini wala sifanyi hivyo mpaka semina inaisha, hahaaa,)
Ushahidi; fuatilia jinsi ilivyo vigumu kuwahubiria watu wanaosali Jumamosi, au ijumaa , au makanisa y FGBF , ni ngumu sana kumkuta mtu anashuhudiia kanisani kuwa kahamia kutoka kanisa la FGBF japo ipo kwa uchache
Katoliki wamefanikiwa kwenye jumuiya,wamefeli kwenye Neno la Mungu maana wao muda mwingi hujifunza kanuni za kanisa,
Kabla hujaanzq kubishana, fanya utafiti, mwezio huwa naleta jambo ambalo nimekuwa nalo kwa miaka mingi sana, hata 10 au zaidi.
Mwl. [email protected] 0788 650 360
Cha kufanya: fanyia kazi ujumbe!