Fulbata.com

Fulbata.com East African Nightlife and Social photographic Website Stay in touch!

Mike Song atakuwa Live on   Azam TV ndani Studio 103 kesho tarehe 9/10/2021 saa mbili kamili ya usiku (08:00 pm)
08/10/2021

Mike Song atakuwa Live on Azam TV ndani Studio 103 kesho tarehe 9/10/2021 saa mbili kamili ya usiku (08:00 pm)

Wimbo mpya kutoka kwa MIKE SONG yule yule Mkali wa Wimbo Saluni ya mama kimbo. Na huu unaitwa WALETE nenda on YouTube ka...
16/09/2021

Wimbo mpya kutoka kwa MIKE SONG yule yule Mkali wa Wimbo Saluni ya mama kimbo. Na huu unaitwa WALETE nenda on YouTube kautazame

Follow on All digital platform for more information

Wateja mbali mbali wakifurahia sim mpya kutoka Tecno Toleo liitwalo " Wx3Lte" yenye uwezo mkubwa wa 4g, camera na memory...
11/07/2017

Wateja mbali mbali wakifurahia sim mpya kutoka Tecno Toleo liitwalo " Wx3Lte" yenye uwezo mkubwa wa 4g, camera na memory ya kutosha, sim hii ni maarufu kwa jina la "TecnoDude" inapatikana maduka yote ya Vodacom nchini

Every Thursday @ Full Stop-Bavaria Club-Dj D Slash with DVJ (Unachokisikia ndo unachokiona katika maluninga kibao na pro...
23/04/2014

Every Thursday @ Full Stop-Bavaria Club-Dj D Slash with DVJ (Unachokisikia ndo unachokiona katika maluninga kibao na projector screens za full stop)....Usikose

Re-open of meridian hotel and Masai Club....... nyamala Ni muendelezo wa Masai club, Meridian Hotel na Chief lounge....N...
20/04/2014

Re-open of meridian hotel and Masai Club....... nyamala Ni muendelezo wa Masai club, Meridian Hotel na Chief lounge....Ni Palele......Huduma zimeboreshwa kuanzia nje mpaka ndani hasa wahudumu na ulinzi na kuma vinywaji yva kila aina

Pia kuna shisha,Chakula cha aina zote na music unapata nzuri pia upo

Ratiba ni kuanzia juma5 mpaka juma2.........Pia kuna Bar yenye mazingira mazuri na yakuvutia kwa kila atakaefika apo na kuhudumiwa na wahudumu wetu makini na wasafi Bila kusahau kuna parking ya kutosha kwa wale wenye usafiri binafsi

Chakufanya ni wewe kufika na ku party na watu wa aina yako na sio kwengine bali ni meridian hotel,Chief lounge na masai club ..........af vyote vinapatikana sehem moja tu pale mwana nyamala karibu na komakoma

Join us..............

Jumapili hii Tukutane club Maisha Dar suma mnazaleti na Agaba Launch atakuwa na super stars kibao ibuka tufanye habari z...
06/04/2014

Jumapili hii Tukutane club Maisha Dar suma mnazaleti na Agaba Launch atakuwa na super stars kibao ibuka tufanye habari zetu kwa mtonyo huu 8,000/-

Was going down baby with x-treeme deejayz  maisha club dar
06/04/2014

Was going down baby with x-treeme deejayz maisha club dar

The kid iz bacck ndani ya new maisha club siku ya juma pili.......Itaambatana na AGABA LAUNCH na wasanii wengine kibaboo...
04/04/2014

The kid iz bacck ndani ya new maisha club siku ya juma pili.......

Itaambatana na AGABA LAUNCH na wasanii wengine kibaboo.... cha kufanya nikufika 2 pale siku iyo ya tare: 06-04-2014 af uone inakuaje......................!!!!!!!!

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fulbata.com posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share