PINCA Solutions Tanzania Limited

PINCA Solutions Tanzania Limited Hildelly Solutions Tanzania Limited ; event management, training and capacity building, photo and video production, house maids programs

Mzazi.... mlezi... mwezi huu wa tatu mtoto wako wa darasa la tatu na la nne atakua na program ganiSisi tumemuandalia pro...
20/02/2020

Mzazi.... mlezi... mwezi huu wa tatu mtoto wako wa darasa la tatu na la nne atakua na program gani

Sisi tumemuandalia program kwa ajili ya maisha yake .... LIFE SKILLS PROGRAM FOR KIDS march ipo kwa watoto wa k**e na kiume

Usajili unaanza sasa kwa 0765670746 - Hilda Ngaja

Kindly share

Unajua siku yetu inakaribia... watoto wetu wanavitu vingi wanavyoweza kuelekezwa kupitia program hii . Mpe nafasi akiwa ...
13/02/2020

Unajua siku yetu inakaribia... watoto wetu wanavitu vingi wanavyoweza kuelekezwa kupitia program hii . Mpe nafasi akiwa mtoto aje aufurahie utuuzima wake

First and second  graders typically get better at physical skills like copying shapes and letters..... YESMost first and...
11/01/2020

First and second graders typically get better at physical skills like copying shapes and letters..... YES

Most first and second graders begin to look for logical answers to their questions about the world.... AND

First and second graders start learning how to make and keep friends.HENCE

It takes some meaningful life skills to put them in the best place for achieving their goals. After all, the key to success is preparation.

Umri huu wa mtoto wa darasa la kwanza na la pili ni wakati ambao mtoto anajifunza vitu vingi darasani.. kunakili maumbo nk, lakini pia ni wakati ambao wanatafuta Majibu makini ya maswali yao ya mambo mengi yanayotokea duniani . Hata hivyo wanajifunza kutafuta marafiki na kuwatunza .

Inahitaji maarifa sahihi kuweza kuyafanya yote hayo na waweze kutimiza malengo yao . Kikubwa ni maandalizi.

Program hii ya LIFE SKILLS PROGRAM FOR KIDS ipo kuwaandaa watoto wetu kwenye hayo yote . Tukumbuke ndio kwanza wamefungua shule tupo kwenye wakati sahihi . Fanya booking mapema kwa ajili ya maandalizi mazuri kwa kesho ya watoto wetu. Nafasi bado zipo

0765670746
Hilda Ngaja
Raising up friendship
Life skills program for kids program

Watoto wetu wameshamaliza mtihani WA darasa LA saba ni wakati wetu kuwapa elimu ya maisha ili kuwandaa na maisha yajayo ...
16/09/2019

Watoto wetu wameshamaliza mtihani WA darasa LA saba ni wakati wetu kuwapa elimu ya maisha ili kuwandaa na maisha yajayo nafasi bado zipo karibu ni sana
0765670746

05/09/2018

Buy and sell kids products here +255765670746

Leo saa 11:30 jioni chanel 10 .. Na sheikh Ibrahim .. katibu mtendaji wa wanazuoni wa kiislam Tanzania na mtaalamu wa ma...
03/10/2016

Leo saa 11:30 jioni chanel 10 .. Na sheikh Ibrahim .. katibu mtendaji wa wanazuoni wa kiislam Tanzania na mtaalamu wa maswala ya malezi . kamilagwa

wanafunzi wanaomaliza darasa la saba wako kwenye kundi la hatari kitabia na wanahitaji muda mwingi wa kuwaongoza na kuwa...
08/09/2016

wanafunzi wanaomaliza darasa la saba wako kwenye kundi la hatari kitabia na wanahitaji muda mwingi wa kuwaongoza na kuwafundisha njia sahihi za wao kuhimili mabadiliko yao kitabia,kihisia,kimaumbile nk. Raising Up Friendship ikitoa mafunzo haya kwa wanafunzi wa darasa la saba siku ya mahafali yao kwenye shule ya New Vibe . Ahsante uongozi wa shule na wazazi kutuamini

Hildelly Solutions Tanzania Limited team .  ..  Kwenye mradi wa  ,  leo
31/07/2016

Hildelly Solutions Tanzania Limited team . .. Kwenye mradi wa , leo

Team ya Hildelly Solutions Tanzania Limited tulijenga uwezo kwenye shirika la LECRI CONSULT-  ...  for positive     chan...
20/07/2016

Team ya Hildelly Solutions Tanzania Limited tulijenga uwezo kwenye shirika la LECRI CONSULT- ... for positive changes.. a winning team. Happy customer happy Hildelly Solutions Tanzania Limited ..

Address

Box 65417
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255784670746

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PINCA Solutions Tanzania Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share