18/10/2026
Usikubali chakula kitamu na pilau la harusi vikusaidie kusahau picha mbaya! 😂 😂😂😂pilau litaisha, soda zitaisha, na baada ya wiki mbili kila mtu atakuwa amesahau k**a kulikuwa na kuku au ng'ombe... Lakini picha na video ndio zitabaki kwako milele! 📸✨
Wala hutamani miaka 10 ijayo uwe unawaonyesha watoto wako picha ambazo babu yao anaonekana k**a katokea kwenye movie ya kutisha maana kamera ilikuwa ya pixel 2! 🤣🤣🤣🤣🙈
Kumbukumbu ndio kila kitu! 💍❤️
Usicheze na siku yako ya dhahabu. Wacha rite.scale.studios tukuhakikishie kumbukumbu za kifalme na zenye ubora wa kimataifa (Cinematic quality) ambazo utajivunia kuzitazama miaka 50 ijayo.
📲 Wasiliana nasi leo upate booking yako kabla tarehe hazijajaa:
📞 Simu / WhatsApp: 0692563854
📍 Location: Mikochen A, Karibu na shopas Plaza