14/07/2023
KARIBU PICHA NZURI ZA MBAO ZENYE MVUTO NA ZINAZODUMU
Je unatafta Namna Bora ya Kuhifadhi Picha Zako , Katika Muonekano Mzuri Na Wa Kuvutia ...?
Karibu ujipatie huduma bora
Frem zake ni za mbao na hazipasuki
-picha Haina kioo hivo ni ngumu sana kupasuka , Haswa k**a unawatoto wa tundu ๐ hii kiboko sana
- Ina materials za glitter ( mnga'o ) hivo picha inakua inavutia mda wote , popote utaweka mfano sebuleni, chumbani na hata ofisini.
- Ina waterproof materials hivo haipitishi maji kwa njia yoyote na wala hailoi kabisa kwa maji .
Gharama ni nafuu sana
A5 8000
A5+ 8500
A4 10000
A4+ 12000
A3 20000
A3+ 25000
A2 45000
A2+ 65000
A1 90000
๐ Tunatoa ushauri wowote bure juu ya picha
๐Tunatengeneza saa za ukutani zenye picha ndani kwa bei nafuu
๐ Tunaprint vikombe na chupa kwa bei nafuu
๐ Kwa wale wanaotaka kuanza biashara ya picha mbao tunauza vifaa vyote mfano Vibao, cold laminator n.k kwa bei ya punguzo kabisa.
๐ Tunatengeneza matangazo na logo kwa bei nafuu
โ๏ธWasiliana nasi kwa whatsap 0622030911
Au piga 0699116808
Tunapatikana ๐ mabibo NIT , Dar es salaam
upo nje ya dar es salaam ? wala usiwe na shaka , ndio Tunasafirisha mkoa wowote ule ndani ya Tanzania kwa gharama nafuu sana
Piga 0699116808
Whatsapp 0622030911
KARIBU SANA ๐๐