GUDE MEDIA

GUDE MEDIA To share News Locally, Internationally, Features and Sports

03/06/2026

KENGELE kubwa iliyogongwa mara tisa, bendi ya jeshi ikiongoza nyimbo za maombolezo Rais Dk Samia Suluhu Hasan majira ya saa tano na dakika 23 aliweka shada la maua kwa kaburi la askari asiyefahamika, mjini hapa.

BARRICK NORTH MARA YAZINDUA KILINIKI  AWAMU YA PILI UTATUZI WA MIGOGORO TARIME
27/05/2026

BARRICK NORTH MARA YAZINDUA KILINIKI AWAMU YA PILI UTATUZI WA MIGOGORO TARIME

Mgodi wa Barrick North Mara umezindua kliniki ya awamu ya pili maalum ya kusikiliza malalamiko , kero na migogoro ya wananchi ili kupata utatuzi wa kudumu kwenye vijiji 11 vinavyozunguka mgodi huo kwa ajili ya kuendelea kuboresha mahusiano kati ya mgodi na jamii.

Wanamichezo wa Kimataifa Kushawishi Uwekezaji Nchini
21/05/2026

Wanamichezo wa Kimataifa Kushawishi Uwekezaji Nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema ujio wa wanamichezo wa kimataifa nchini, akiwemo Nahodha wa zamani wa Klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, Rio Ferdinand unashawishi wawekezaji kuwekeza katika sekta hiyo.

CCM, CPC na Vyama vya Ukombozi Afrika Waimarisha Ushirikiano wa Maendeleo
21/05/2026

CCM, CPC na Vyama vya Ukombozi Afrika Waimarisha Ushirikiano wa Maendeleo

CCM imekuwa mwenyeji wa mkutano kati ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Vyama Sita Rafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, uliofanyika katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS), Kibaha.

Address

P. Box 41336
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GUDE MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to GUDE MEDIA:

Share