Leaf Onemic Class

Leaf Onemic Class Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Leaf Onemic Class, Arusha.

LEAFONEMIC STUDIO TZ.
02/07/2022

LEAFONEMIC STUDIO TZ.

27/05/2022

Kilichopo hapo Watumishi katika Kristo ni Waendelezaji wa Kupanda Roho ya Kristo ya Kujishusha, Kristo aliye na Uungu alijishusha duniani akaishi k**a mwanadamu hili kupitia yeye tuuchukue utu wa kujishusha, Sasa wanaomtangaza Kristo hili waendeleze kazi ya habari njema kwa Kristo lazima waende kwa namna ya Kristo ya Kujishusha, sio kujivika vyeo heti, Rais sijui mkuu wa manabii, huku ni kujikweza..
Tazama hapa
👇

5 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu;

6 ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushik**ana nacho;

7 bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;

8 tena, alipoonekana ana umbo k**a mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.

9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;

10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;

11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Wafilipi 2:5-11

👆
TUNAAMBIWA TUWE NA NIA HIYO HIYO YA KRISTO. KUJISHUSHA, WATANGAZAO HABARI NJEMA TOKEA KINA PETRO UTANGAZWA NI WATUMISHI TU WA KRISTO.. AU WACHUNGAJI, AU NABII, HIZI NI MAANA ZA UTUME... SASA WEWE NI MTUMWA WA BWANA TENA UNAKUWA RAIS? NI KIMWILI? AU? MAANA KIROHO KIONGOZI NI MMOJA TU KRISTO

LEAF LOVE.❤️💛💚
26/04/2022

LEAF LOVE.❤️💛💚

CYPHER ON RECORDING
26/04/2022

CYPHER ON RECORDING

LEAF GLOBAL ARTS
02/12/2021

LEAF GLOBAL ARTS

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Leaf Onemic Class posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share