25/04/2025
πππππ ππππ πππππ πππππππ πππππππ
Sina mambo mingi,ila nakuomba tu uLike hii post ukiendelea kujibamba na kusoma. Asante
ππππ π
Mark alichukua ile gun ya Tom akakuja akapanda kwa shamba huku,na mida ilikua ya usiku usiku hakuna mwenye aliona,apart from mimi na wewe sasaππ
Amani na yeye,alimcall mamake, akamwambia mum,nilienda kwa Mark usiku na wueh nikaona bado ameekwa picha zako. Rachael akamwambia yeah I know he really loved me but Amani akamwambia this man mum,sidhani he is the man we think he is,imagine ameficha watu wawili kwake,bwana na bibi? Kumbuka, Amani hakuwai ona Kate na Tom,until that night akivamiwa.
Mark alirudi akampata Neema hajalala,bado amemngoja akamuuliza babe,umekua wapi? Mark akamwambia babe, I want to tell you something 'cheki Neema haha awww'.Mark akamwambia anataka kumwambia kitu,but asiovereact,Neema akamuuliza nini hiyo? Mark akamwambia its Eddy,nishajua ni yeye alitumana wakora wakacharaza barabaraππwueh,Neema karibu alipuke but Mark akamwambia relax, don't overreact. Neema akamwambia yani Eddy hajawai fikiria kuhusu watoto but wewe uko very caring na still anakuharm. Wakalambizana mahug zingine hapo moto moto manze hadi Neema anafunga machoππππ
Siku iliyofuata,Jojo,Ian na Eddy wako mezani wanakula mayai na juice for breakfast. Ian aliomba kuondoka kiasi aende kucheza PS...Jojo na Eddy wakabaki hapo.
Jojo akauliza babake kuhusu yeye kuenda majuu but Eddy akamwambia sidhani k**a ni idea poa,ju remember bila wewe mamako hatarudi kwangu,so baki tu Kenya nitakupeleka shule fiti sana. Jojo hakutaka hivyo,hadi akauliza babake, ni hutaki niende majuu ama ni Jayden hutaki awe na mimi? Eddy akamwambia zii,Jayden ni msee mfiti sana na sina shida na yeye kabisa, Hapa Eddy alidanganyaππanachukia Jayden venye tu nyinyi mnachukia..yeah huyo huyoπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ
Eddy aliambia Jojo,k**a Jayden yeye anataka kuenda majuu,acha yeye aende,but Jojo akamuuliza na uhusiano wetu venye nampenda? Eddy akamwambia now